Tunaita DIAMOND.... zina jaza mikono hizo, jaribu SODA YA KOPO, broooMimi huwa napiga zile za Love kwaiyo kifua kinakua normal alafu sitanuki sana zile zinaingia adi kwenye damu.
Unakua kama unapiga za X vile. Naenjoy sana mkuu
Hahah, kuna aina nyingi za vitambi.. Kuna p, b, D shape.six packs zimetokezaa au umekuwa na umbo namba 9 !!?
Gonga TWO NUCKLES. uchane watu mashavuKuna aina ya push-up man, je push-up unazopiga...ni za nakoz (nuckles) mbili au zote ...na kama ni push-up za nuckles zote ni zile unakuwa kwenye flat surface au za kuweka miguu juu ya kitu kama jiwe, stuli au ukutani...150 push-ups mana ake uko fit,
na kama we unaona uko vizuri jaribu zile za vidole vitatu then uje unipe mrejesho......alafu utofautishe nuckle push-ups na palm-push-ups
Polee, brooo.. Nicheki tuyajenge.Natamani sana hizo,ndio zilikuwa zangu. Home kwangu nimetenga room kabisa. Ilikuwa kila asubuhi,saa moja na nusu namalizia hapo. Naanza na kuruka kamba na kichura hiyo dk 30 nakata. Nakuja push up zile za two nakoz tu,mkupuo wa 30,30 mara 5. Nakuja unashika mikono kwa nyuma kwenye kama mwamba wa kitanda,yaani unaukigeukia huo mwamba unashuka chini na kupanda. Mikono tu na visigino ndio vinakuwa vimeubeba mwili. Hayo mazoezi nimeanza nayo miaka 20 iliyopita. Sasa kilichokuwa kinanitokea kila nikikomaa mayo sana ilikuwa napata bawasiri, yaani kama vidude vinatokea sehemu ya haja kubwa,kama tuvidole tudogo hivi. Wakati wa haja,nikimaliza ile mishipa ya ndani inauma. Ikawa hiyo inakuja na kupotea nikawa naendelea na mazoezi huku nikitafuta tiba. Nimehangaika sana na tiba. Hivi ninavyoongea nimeacha mazoezi kabisa,kwa sababu sasa nikifanya tu kidogo napata maumivu makali balaa. Bado nahangaikia tiba,tiba ni adimu sana. Inaniuma sana nikikumbuka mazoezi,natamani mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuzi na kukomaaaa.... Ishu ni kuendelea. Fanya kila siku na usi limit nguvu ya mwili wako.... Trick ur mind, the body will obey..Push ups 150? Za uhakika mkuu? Au zile kama unacheza ndombolo. Nimepumzika kwa sasa lakn umenikumbusha leo jioni inadidi nianze. Ila sijawahi kupiga zaidi ya 30 kwa awamu.
Kukwambia tu, inategemea unapiga kwa malengo gani, piga aina zote za push up.Mambo ya kukunja ngumi ni ya miaka ile ya 80,napiga kwa kutumia push bars
Sent by Diaspora
Sifa mfereji kwenye kifua sio?? [emoji1][emoji1]Teheteheeeee!mwanaume hutakiwi kuwa na kifua flat kama sakafu
Sent by Diaspora
Anza kuweka mikono juu ya meza na miguu chini, piga piga hizo, nyingi nyingi, halafu punguza angle taratibu.Wakuu mimi naomba tips, ninaanzaje hili zoezi. Mana nikajaribu kuenda hata moja inanishinda.
Jodgin, ili ujenge vzuri, tafuta ngazi au ki mlima flani, au mchangani,Tunaopenda JOGIING tunacomment wapi?
Mimi napiga 10 natulia Kisha narudia kama Mara tano vile sijawahi kuzidisha zaidi ya hapo.
Du 150? Unatisha mzew baba!Kwa kifupi gym nilishaacha kwenda long time nikaamua kuanza kupiga push up home tu!
Kwa kifupi huwa naenjoy sana hasa marafiki wakija kunitembelea huwa nawapa challenge ya kushindana na Mimi huwa nacheka sana baada ya push up 15 tu wanaanza kuhema kama mbwa koko!wakati Mzee mzima hapo naenda zaidi ya push up 150
Tukutane hapa wapenda mazoezi
Sent by Diaspora
Tabia inajengw kwa siku 21. Fall in love with it. Fanya kwa siku hzo, then utaona..Dah siri ya kudumu kwenye haya mazoezi ni nini? Me mwenzenu nikianza simalizi wiki mbili nishaacha [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mimi naomba tips, ninaanzaje hili zoezi. Mana nikajaribu kuenda hata moja inanishinda.
Tunaopenda JOGIING tunacomment wapi?
Dah siri ya kudumu kwenye haya mazoezi ni nini? Me mwenzenu nikianza simalizi wiki mbili nishaacha [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapiga push za ain ngap?? Kuna aina nying sana.
Kwa hiyo level yako. Piga oblique, Soda ya kopo, jiwekee chalenge ya 30 - 1
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndio mtaalamu wetu ,Push ups?
Moja mpaka mia moja na hamsini?
Bila kupumzika?