Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Chief hapo mi nimeuliza swali nasubiri majibu.We ndio mtaalamu wetu ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief hapo mi nimeuliza swali nasubiri majibu.We ndio mtaalamu wetu ,
Chief mi nakumbuka zile nyuzi zako za mazoeziChief hapo mi nimeuliza swali nasubiri majibu.
Yaani leo mimi na wewe inabidi tuwe wanafunzi tujue nini tunatakiwa kufanya ili kupiga push ups 150 bila kupumzika.Chief mi nakumbuka zile nyuzi zako za mazoezi
Kaaa push up position, piga push up 30, simama, hesabu hadi kumi, position tena, piga 29, simama hesabu hadi kumi, piga 28Sijakuelewa mkuu
Sent by Diaspora
noma push 150 bila kupumzikaYaani leo mimi na wewe inabidi tuwe wanafunzi tujue nini tunatakiwa kufanya ili kupiga push ups 150 bila kupumzika.
soda ya kopo zikoje hizoTunaita DIAMOND.... zina jaza mikono hizo, jaribu SODA YA KOPO, brooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Gonole[emoji3][emoji3][emoji3] sisi kule kwetu tunamwita Gong'ole. Limjusi fulani hivi. Asee umenikumbusha mbali na nimecheka sana.Mazoezi Kwa kuongea ni Rahisi sana... Ishu kufata ROUTINE..
More pain more gain but push-up ni nzuri ww unayeenda push up 150 unapiga push-up za uhakika au zile za kutingisha kichwa kama Gonole
Sent using Jamii Forums mobile app
Bawasir ina tiba. Upo mkoa gani nikuunganishe kwa mtu akupe dawa.?Natamani sana hizo,ndio zilikuwa zangu. Home kwangu nimetenga room kabisa. Ilikuwa kila asubuhi,saa moja na nusu namalizia hapo. Naanza na kuruka kamba na kichura hiyo dk 30 nakata. Nakuja push up zile za two nakoz tu,mkupuo wa 30,30 mara 5. Nakuja unashika mikono kwa nyuma kwenye kama mwamba wa kitanda,yaani unaukigeukia huo mwamba unashuka chini na kupanda. Mikono tu na visigino ndio vinakuwa vimeubeba mwili. Hayo mazoezi nimeanza nayo miaka 20 iliyopita. Sasa kilichokuwa kinanitokea kila nikikomaa mayo sana ilikuwa napata bawasiri, yaani kama vidude vinatokea sehemu ya haja kubwa,kama tuvidole tudogo hivi. Wakati wa haja,nikimaliza ile mishipa ya ndani inauma. Ikawa hiyo inakuja na kupotea nikawa naendelea na mazoezi huku nikitafuta tiba. Nimehangaika sana na tiba. Hivi ninavyoongea nimeacha mazoezi kabisa,kwa sababu sasa nikifanya tu kidogo napata maumivu makali balaa. Bado nahangaikia tiba,tiba ni adimu sana. Inaniuma sana nikikumbuka mazoezi,natamani mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhaha nimeyaua sanaGonole[emoji3][emoji3][emoji3] sisi kule kwetu tunamwita Gong'ole. Limjusi fulani hivi. Asee umenikumbusha mbali na nimecheka sana.
Sent using my Nokia Torch
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo mbeya mkuu. Nitashukuru kupata tiba. Nimehangaika sana wengi wanachemka mkuuBawasir ina tiba. Upo mkoa gani nikuunganishe kwa mtu akupe dawa.?
Sent using my Nokia Torch
Ugali wa bure unalevyaPush ups?
Moja mpaka mia moja na hamsini?
Bila kupumzika?
Anza mbili.kumi hufikishi
Nimeacha pushups nowdays kifua kimekuwa kikubwa sana,napata shida sana kuchagua mashati mazuri ninapokuwa madukani au ninapotoa size yangu mtu anapotaka kunitumia zawadi...
Natamani sana hizo,ndio zilikuwa zangu. Home kwangu nimetenga room kabisa. Ilikuwa kila asubuhi,saa moja na nusu namalizia hapo. Naanza na kuruka kamba na kichura hiyo dk 30 nakata. Nakuja push up zile za two nakoz tu,mkupuo wa 30,30 mara 5. Nakuja unashika mikono kwa nyuma kwenye kama mwamba wa kitanda,yaani unaukigeukia huo mwamba unashuka chini na kupanda. Mikono tu na visigino ndio vinakuwa vimeubeba mwili. Hayo mazoezi nimeanza nayo miaka 20 iliyopita. Sasa kilichokuwa kinanitokea kila nikikomaa mayo sana ilikuwa napata bawasiri, yaani kama vidude vinatokea sehemu ya haja kubwa,kama tuvidole tudogo hivi. Wakati wa haja,nikimaliza ile mishipa ya ndani inauma. Ikawa hiyo inakuja na kupotea nikawa naendelea na mazoezi huku nikitafuta tiba. Nimehangaika sana na tiba. Hivi ninavyoongea nimeacha mazoezi kabisa,kwa sababu sasa nikifanya tu kidogo napata maumivu makali balaa. Bado nahangaikia tiba,tiba ni adimu sana. Inaniuma sana nikikumbuka mazoezi,natamani mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi zile za kwenye kampeni ziliishia wapi?Ila kwa wale ambao hawana pumzi ni rahisi kuzimia
Sent by Diaspora
Sio kweli mkuu. Samahani kukubishia lakini. Mimi kwa siku nakunywa maji si chini ya lita 3 kwa siku. Maximum lita 4 kila siku mkuuMkuu dawa ya bawasiri ni kunywa maji mengi ukiwa una tabia ya kunywa maji mengi huwezi kupata bawasiri
Sent from my iPhone using JamiiForums