Ni kweli na ujumbe mzuri
Nilikuwa namiliki mbwa na alitokea kunizoea sana kushinda mtu mwingine yeyote Sasa mihangaiko ikapelekea niwe naye mbali na watu nilimuacha/wanaomuangalia kwa ukaribu ni watoto (14-17yrs) changamoto moja wapo muda wa chakula,kumfungia asubuhi na kumfungulia ndipo kazi ilipo,wanatoa taarifa mbwa ni mkali hata kwao chakula wanamuwekea mbali ndipo wanamfungulia na watu wote muda huo wahakikishe wako ndani maana kawatembezea meno sana,muda wa kumfunga/kumfungulia Hadi wamvizie or kumdanganya na chakula waweke bandani akiingia ndipo wamfungie,kesi kila siku wageni kung'atwa
Kama ningempa mafunzo na ukaribu baadhi ya watu nilikuwa naishi nao asingeleta matatizo mengi maana mwenyewe ndiye niluyekuwa namfunga na kumfungua na hakuna atakayetoka asubuhi kama sijamfunga na akifanikiwa kutoka nje ya uzio siku hiyo kesi tu kwa wapita
njia
Ilipelekea nitoe maamuzi ya kumuua(R.I.P Sargent)