Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

Inaonekana kuwa unaipenda sana fani hii, na umefuatilia namna inavyoendeshwa, maana unajuwa mambo mengi sana inayohusiana nayo. Lakini pamoja na hayo, wewe ni mwandishi mzuri, nimependa sana uandishi wako. Kama unaipenda kazi hiyo, ningekushauri waone wahusika wakupe taratibu za namna ya kujiunga nayo. Kama haya yote uliyoandika umeyajua ukiwa nje ya mfumo, basi ni dhahiri ukiingia huko mambo yatakuendea vyema.
 

mbona kama hakuna komando hapaaa 😂😂😂

kwa experience yangu ndogo , hata wanajeshi ambao wanaojua mkono vizuri huwa hawana habari na raia, huwa hawajitutumui maana raia kwao ni mtu wanaemlinda sio wanaoshindana nae. Askari wa kawaida kidogo wanaeza ingia kwenye malumbano sababu ya kutambiana ila sio raia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kujiunga nao siyo kazi, kazi inaanzia "pain is our medicine"
 
Dogo hapo la kweli ni namba 1 na 5 napo bado sio kivile hayo mengine ni siri yetu wazee wa kikosi kazi.
 
Heshima kwako komandoo, kuna jamaa yangu alinipa stori alikutana na nyinyi kwa kalumanzila......akadai mna uwezo wa kupiga mti ngumi ukapasuka vipande vipande, na pia mnao uwezo wa kuangamza maadui wengi ndani ya dakika sifuri.....
 
Sio nabii mashimo komandoo wa yesu?
 
Yote sahihi ndo maana umeyajua kiufasaha
Hamna ukweli hapo,ukitaka kujua mafunzo na maisha ya makomandoo,nenda kasome vitabu vilivyoandikwa kuhusu makomandoo wa USA(Seal Team,Marine,Delta force,CIA,secret service,drug enforcement agency DEA,state department)au wa UK(SAS,Scotland yard),au wa Israel(mossad,shabak,)au Russia(KGB,FSB,spetsnaz)
Achana na story za vijiweni za kibongo hazina uhalisia,huku kwetu wanaona wakiua chatu ni jambo la kishujaa na kujipongeza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…