Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

US Secret Service, DEA, na State Department nao ni makomandoo?

Aisee 🀣🀣🀣🀣
 
Wewe ni komando kweli??

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Yakijiwe cha kahawa yote hayo ,vp kashata zipo za kutosha namm nije
 
Komandoo akaibe pale Kariakoo uone Watu ishirini tu watamfanya ajinyee.
Mzee watu 20 hawawezi kumtuliza komando, kikawaida uwezo wa kimedani kwa commando mmoja aloyefuzu completely ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100.

Sasa wale machinga wa k/Koo ndio wamtulize commando? C'mon wagwan... Sometime Bora ukae kimya utaonekana mwerevu kuliko kuropoka ndani ya kadamnasi.
 
Jamani
 
Kwenye mshahara naomba uniagizie Bajia Katlesi nishushie maana chai imekolea sukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…