Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

nahisi umevuta SKANKA!!!!!
 
Hakuna komandoo bongo, wapo u ccm tu, ma komandoo walikuwepo kipindi cha Brigadier Hashim Mbita, wakati wa ukombozi kusini mwa Afrika,
Ma komandoo wapo Israel, Mossad, Hawa wakwetu ni ma komandoo vyeo,wakupasua mawe kwa kichwa, na kupiga mitama watu mtaani, kunywa pombe, kununua ist basi
 
No 1, 2, 3, 4, 6, 7, 9, 10 si kweli.
No 5ina ukweli kidogo lazima viongozi wao wa jue wapi wapi pia wanawafatilia kwa karibu.
No 8 ni kweli kabisa.
No 11 Kuna ukweli Ila hamna idadi maalumu ya wanaokufa mafunzoni.
 


HIZI FIX ZA KITOTO, UNADHANI KUNA WATU UTAWADANGANYA UWATAPELI AU KUTAKA JIPATIA SIFA ZA KIJINGA. DOGO ANGALIA SANA...
 
Maelezo mengi na marefu halafu yote ni Pumba tupu tu. Kwani ukibakia tu kuwa Msomaji na ukawaacha wanaojua Wachangie nawe Ujifunze utapungukiwa nini?
mimi niliyeandika hapa ni komandoo sikuandika kukurupuka siwezi kubali maneno ya vijiwe vya kahawa yapite hivi hivi
Ukweli aliyeandika naye ana haki ya kujua sio mbaya ila tunaoelewa inabidi kutoa elimu
Sifa zilizotolewa hapo ni ngumu na ziada mtu kiasi cha mtu kuwa kama nusu mungu na pengine kujenga hisia sasa kuna faida gani ya kusomea hiyo fani kama kuna shida za hivyo mara ohooo wakiwa mia lazima wengine wafe
 
Maswali yameulizwa na Mtoto.
 
Kuna moja hujaisema kwamba wakistaafu kuishi ni Dsm pwani na Morogoro
why? Fikicha akili
 
An idiot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…