Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Komando yosoAkina komando jide
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komando yosoAkina komando jide
Nyie kila Mtu ni huyo tu Mume wenu Genta.Hapo sasa ndipo Genta huwa namuona ni mshamba flani halafu mjinga. Maswali gani hayo?
Mumeo.Kwani GENTAMYCINE yeye alitoa maoni gani?
nahisi umevuta SKANKA!!!!!1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo?
2. Je, ni kweli kuwa katika Mafunzo yenu ya Ukomandoo huwa kuna Kipengele cha Kujifunza Uchawi?
3. Je, ni kweli kuwa kwa uwezo wenu mkubwa wa Kimedani nyie huwa hamna Kiwango Maalum cha Mishahara na kwamba Kiwango ukitakacho ukikiomba tu unapewa tena ukiwa unatetemekewa na kupigiwa Magoti?
4. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wote wanatakiwa kujua Kuongea Lugha za Kimataifa kuanzia 7 mpaka 12 tena Kiufasaha kabisa?
5. Je, ni kweli kuwa Komandoo akiwa Likizo kuanzia OCD, RPC, DSO, RSO, RC, IGP pamoja na Mjumbe wa Nyumba Kumi wanatakiwa wajue na kila Siku wawe wanakupigia Simu kukuulizia hali yako na ikiwezekana hata Kukuamkia Shikamoo na Kukupigia Saluti huko huko waliko hata kama huwaoni?
6. Je, ni kweli kuwa Makomandoo mkiwa katika Mafunzo au Maisha yenu huko katika Kambi yenu msipopelekwa maeneo yenye ama Chatu wengi au Mito yenye Mamba wengi mkapambane nao huwa hamsikii raha mpaka kufikia Kitendo cha Kununa na hata Kususa Kula?
7. Je, ni kweli kuwa Makomandoo 5 mpaka 7 tu kwa Uwezo wao mkubwa wa Kimedani wakiamua Watu wote wa Mkoa wa Dar es Salaam tulale Saa 6 Mchana na tuamke Saa 12 Jioni Kesho yake kwa kutupa Adhabu zenu inawezekana?
8. Je, ni kweli kuwa aina ya Karate wanayojifunza Makomandoo ni ile ya COMBAT ya Kuua kabisa Mtu au Adui na siyo hizi za Kawaida za Kumjeruhi tu Adui / Mtu mara moja kisha unamruhusu akale Ugali na Maharage Kwao?
9. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wengi huwa hawana Watoto na kwamba hata uwezo wao wa Kuzalisha huondolewa au huondoka automatically tu kwa aina ya Mazoezi magumu na ya Hatari mnayofanya?
10. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wengi huwa wakifikisha Umri wa kuanzia Miaka 55 hupewa Sumu na Kufa kwakuwa wanakuwa siyo Productive tena Kimedani na kwamba wanahofiwa wanaweza Kuvujisha au kutoa Siri za Jeshi na hata za nchi kwa Maadui?
11. Je, ni kweli kuwa ili kozi ya Ukomandoo iwe imefana inatakiwa kama mlikuwa mmeingia 100 Mafunzoni basi 55 wawe Wamekufa na 25 wawe wamejeruhiwa kwa kuwa Vilema na wengine hata Makolomero yao na Ulimi kujitokeza Mdomoni na 20 tu ndiyo wawe Hai na Kukamilika?
Sasa ni wakati wa nyie Kunijibu tu nijue.
Hakuna komandoo bongo, wapo u ccm tu, ma komandoo walikuwepo kipindi cha Brigadier Hashim Mbita, wakati wa ukombozi kusini mwa Afrika,1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo?

Anza kuvunja matofali kwa kichwa.Nifanyej ili niwe komandoo
Inaonekana tunampenda sana mume wetu GentaNyie kila Mtu ni huyo tu Mume wenu Genta.
Tulipokuwa Quba kwenye mafunzo nilipenda wanatuchukulia kama raia wa kawaida hata madem wa kule unapita nao....kurudi sasa yaani ni kero ukitaka kujichanganya na wana wa kijiweni kidogo simu isha ingia ni kero sana, ulinzi ulinz ulinzi hata ukitaka kuendesha bila leseni unatumia kitambulisho au gwanda, kuna siku nilikula bure kwenye mgahawa mmoja wa kishua jijini hapo. Walivyoita mabaunsa nikatoa gamba wakanyong'onyea kama kuku wa mdondo.Ni kweli kuna siku niliamkiwa na dc halafu mimi ni janja tu sijagonga hata 30 nikaamkiwa na zee zima.
mimi niliyeandika hapa ni komandoo sikuandika kukurupuka siwezi kubali maneno ya vijiwe vya kahawa yapite hivi hiviMaelezo mengi na marefu halafu yote ni Pumba tupu tu. Kwani ukibakia tu kuwa Msomaji na ukawaacha wanaojua Wachangie nawe Ujifunze utapungukiwa nini?
Maswali yameulizwa na Mtoto.1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo?
2. Je, ni kweli kuwa katika Mafunzo yenu ya Ukomandoo huwa kuna Kipengele cha Kujifunza Uchawi?
3. Je, ni kweli kuwa kwa uwezo wenu mkubwa wa Kimedani nyie huwa hamna Kiwango Maalum cha Mishahara na kwamba Kiwango ukitakacho ukikiomba tu unapewa tena ukiwa unatetemekewa na kupigiwa Magoti?
4. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wote wanatakiwa kujua Kuongea Lugha za Kimataifa kuanzia 7 mpaka 12 tena Kiufasaha kabisa?
5. Je, ni kweli kuwa Komandoo akiwa Likizo kuanzia OCD, RPC, DSO, RSO, RC, IGP pamoja na Mjumbe wa Nyumba Kumi wanatakiwa wajue na kila Siku wawe wanakupigia Simu kukuulizia hali yako na ikiwezekana hata Kukuamkia Shikamoo na Kukupigia Saluti huko huko waliko hata kama huwaoni?
6. Je, ni kweli kuwa Makomandoo mkiwa katika Mafunzo au Maisha yenu huko katika Kambi yenu msipopelekwa maeneo yenye ama Chatu wengi au Mito yenye Mamba wengi mkapambane nao huwa hamsikii raha mpaka kufikia Kitendo cha Kununa na hata Kususa Kula?
7. Je, ni kweli kuwa Makomandoo 5 mpaka 7 tu kwa Uwezo wao mkubwa wa Kimedani wakiamua Watu wote wa Mkoa wa Dar es Salaam tulale Saa 6 Mchana na tuamke Saa 12 Jioni Kesho yake kwa kutupa Adhabu zenu inawezekana?
8. Je, ni kweli kuwa aina ya Karate wanayojifunza Makomandoo ni ile ya COMBAT ya Kuua kabisa Mtu au Adui na siyo hizi za Kawaida za Kumjeruhi tu Adui / Mtu mara moja kisha unamruhusu akale Ugali na Maharage Kwao?
9. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wengi huwa hawana Watoto na kwamba hata uwezo wao wa Kuzalisha huondolewa au huondoka automatically tu kwa aina ya Mazoezi magumu na ya Hatari mnayofanya?
10. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wengi huwa wakifikisha Umri wa kuanzia Miaka 55 hupewa Sumu na Kufa kwakuwa wanakuwa siyo Productive tena Kimedani na kwamba wanahofiwa wanaweza Kuvujisha au kutoa Siri za Jeshi na hata za nchi kwa Maadui?
11. Je, ni kweli kuwa ili kozi ya Ukomandoo iwe imefana inatakiwa kama mlikuwa mmeingia 100 Mafunzoni basi 55 wawe Wamekufa na 25 wawe wamejeruhiwa kwa kuwa Vilema na wengine hata Makolomero yao na Ulimi kujitokeza Mdomoni na 20 tu ndiyo wawe Hai na Kukamilika?
Sasa ni wakati wa nyie Kunijibu tu nijue.
Mnatulinda? mbona siku hizi matangazo ya wanaotekwa na kupotea yanazidi kuongekamarhabaa kijana wangu,usiwe na shaka tunawalinda vilivyo.
Hautaki kuamini!! Basi baridiHIZI FIX ZA KITOTO, UNADHANI KUNA WATU UTAWADANGANYA UWATAPELI AU KUTAKA JIPATIA SIFA ZA KIJINGA. DOGO ANGALIA SANA...
Mnalindwa.Mnatulinda? mbona siku hizi matangazo ya wanaotekwa na kupotea yanazidi kuongeka
au mnalinda chama kambi za jeshi?
Hspo ni chenga hata km siyo comandoo majibu ni big NOyaa nikweli tukiwa likizo huwa wanatuamkia shikamoo
[emoji1787]HIZI FIX ZA KITOTO, UNADHANI KUNA WATU UTAWADANGANYA UWATAPELI AU KUTAKA JIPATIA SIFA ZA KIJINGA. DOGO ANGALIA SANA...
Atakufa na kisukari kama wale jamaa zangu wala kashataOngeza na kashata kwa tani yako ushushie hiyo kahawa
An idiot!1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo?