Nafikiri ukiweka nidhamu na kauli njema hapo dukani kwako, itakua ni kivutio tosha kwa wateja wako..
Ongeza bidii na ufungue kwa wakati, then muombe Mungu azibariki kazi za mikono yako.