emanuel prim
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 508
- 475
H
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki hapaView attachment 1679217
SawaMkuu mfano hapo duka lako imelala kama million ngap.? Kama hutojal naomba nije pm yako [emoji1488]
Sijaelewa hapaTumia mfumo wa FIFO (first in, first out)
Mara chache chache toa zawadi ya pipi kwa wateja hasa watoto wanaotumwa hapo dukani. Hao watakuwa wateja waaminifu. Akitumwa dukani hataenda duka lingine bali atakuja dukani kwakoNajiuliza niongeze nini dukani kwangu. Bidhaa gani ni nzuri dukani na zina faida nzuri kidogo. Hili duka si la hali ya chini sana ni duka la kati.
Karibuni tujadili nini na nini kisikosekane dukani kwanza kina faida halafu kinavutia wateja.
Vinywaji na vyakula mtaniNajiuliza niongeze nini dukani kwangu. Bidhaa gani ni nzuri dukani na zina faida nzuri kidogo. Hili duka si la hali ya chini sana ni duka la kati.
Karibuni tujadili nini na nini kisikosekane dukani kwanza kina faida halafu kinavutia wateja.
Bongo kuibiwa hakuepukikiSafi sana mtani..nipo mbali kwa sasa nimeshalimudu japo naibiwa ibiwa napokua kwny majukumu mengine....
Ukiweka mhudumu wa kirangi au wa mbulu!Najiuliza niongeze nini dukani kwangu. Bidhaa gani ni nzuri dukani na zina faida nzuri kidogo. Hili duka si la hali ya chini sana ni duka la kati.
Karibuni tujadili nini na nini kisikosekane dukani kwanza kina faida halafu kinavutia wateja.
Polee ndugu yanguSafi sana mtani..nipo mbali kwa sasa nimeshalimudu japo naibiwa ibiwa napokua kwny majukumu mengine....