Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Sigara faida yake ni kidunchu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa lakini inaleta watejaSigara faida yake ni kidunchu sana.
Sawa lakini inaleta wateja
Una hekima mno, na hayo mapengo sikukutegemea mkuu. Ubarikiwe😍.Nafikiri ukiweka nidhamu na kauli njema hapo dukani kwako, itakua ni kivutio tosha kwa wateja wako..
Ongeza bidii na ufungue kwa wakati, then muombe Mungu azibariki kazi za mikono yako.
Ailavu yu tuu bebi...😘😘Una hekima mno, na hayo mapengo sikukutegemea mkuu. Ubarikiwe😍.
Ulivonita bebi sasa na hayo mapengo sijui kama hujajing'ata😀Ailavu yu tuu bebi...😘😘
Tatizo mapengo haya na uzito wa avatar ndio unanifanya nipigwe teke la kupendwa..😔😔
Kuna mwenzio anayaona kama mwanya...😂😂Ulivonita bebi sasa na hayo mapengo sijui kama hujajing'ata😀
Kweli sisi wanawake tuna huruma sana, na anakuita babe/my wake😀😀Kuna mwenzio anayaona kama mwanya...😂😂
Na.... Kakufa akaoza....🤣🤣
Umemaliza mkuu
Akija mteja dukani tabasam piga nae stori mbili tatu hivyo unajenga wateja wako aamini uo ndio uchawi wa bisshara
Cheki hapaNajiuliza niongeze nini dukani kwangu. Bidhaa gani ni nzuri dukani na zina faida nzuri kidogo. Hili duka si la hali ya chini sana ni duka la kati.
Karibuni tujadili nini na nini kisikosekane dukani kwanza kina faida halafu kinavutia wateja.