Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Sawa lakini inaleta watejaSigara faida yake ni kidunchu sana.
Sawa lakini inaleta wateja
Udongoπ
Una hekima mno, na hayo mapengo sikukutegemea mkuu. Ubarikiweπ.Nafikiri ukiweka nidhamu na kauli njema hapo dukani kwako, itakua ni kivutio tosha kwa wateja wako..
Ongeza bidii na ufungue kwa wakati, then muombe Mungu azibariki kazi za mikono yako.
Ailavu yu tuu bebi...ππUna hekima mno, na hayo mapengo sikukutegemea mkuu. Ubarikiweπ.
Ulivonita bebi sasa na hayo mapengo sijui kama hujajing'ataπAilavu yu tuu bebi...ππ
Tatizo mapengo haya na uzito wa avatar ndio unanifanya nipigwe teke la kupendwa..ππ
Kuna mwenzio anayaona kama mwanya...ππUlivonita bebi sasa na hayo mapengo sijui kama hujajing'ataπ
Kweli sisi wanawake tuna huruma sana, na anakuita babe/my wakeππKuna mwenzio anayaona kama mwanya...ππ
Na.... Kakufa akaoza....π€£π€£
Umemaliza mkuu
Akija mteja dukani tabasam piga nae stori mbili tatu hivyo unajenga wateja wako aamini uo ndio uchawi wa bisshara
Cheki hapaNajiuliza niongeze nini dukani kwangu. Bidhaa gani ni nzuri dukani na zina faida nzuri kidogo. Hili duka si la hali ya chini sana ni duka la kati.
Karibuni tujadili nini na nini kisikosekane dukani kwanza kina faida halafu kinavutia wateja.