Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

kiukweli kwenye biblia hakuna somo la majini wazuri wala wabaya wote ni mapepo sasa usilazimishe watu

na katika biblia baada ya Mungu kuiumba dunia kulikuwa hamna chochote chenye mfano wa binadam ndipo akaiona dunia imekuwa ukiwa akaamua amuumbe Adam avitawale viumbe na vitu vyote vilivyopo na malaika wazur wanaishi mbingun ila wabaya wanazurura dunian kutafuta washirik wa ule moto siku ya mwisho
 
Karibu TICHA tupo pamoja unajua watu niwagumu sana kuelewa mpaka wa pate mitihani. Je kwa wa kristo mliopo kwenye jukwaa hili roho mtakatifu ni nani naomba majibu then nitaeleza uelewa wangu.
 
Hiyo 14, 15 na 17 ni kichekesho. Yaani wajasiriamali wote wana majini? Hiyo ni 14 na je kuwa na msukumo wa kusali ni lazima uwe na majini?
Mungu akuhurumie maana haya maelezo yameandikwa na majini uliyo nayo. Unasifu majini?
 
Kwani nani anatoa ruhusa ya kula kitu?
Hivi kuendesha gari kumeruhusiwa na nani?

Acha kubabaisha. ruhusa ya kuendesha gari inapatikana hata ktk katiba ya jamuhuri ya muungano wa TZ ya mwaka 1984. na hata dini hazijakataza kuendesha gari.

kama unajibu ni wapi umepata ruhusa ya kula kitimoto wewe niambie ili nami niijue, kama hujui kitu poteaaaaaa! usijaze sava hapa. na naamini wote walao kitimoto kwa tiketi ya ukiristo ni fool.s maana hakuna hiyo ruhusa. na kama ipo naihitaji.
 

Kulikuwa na viumbe hata kabla ya Adam na Hawa kuumbwa.
 

kutii amri ya jinni ni shirki.
 
Kwahiyo, alipo kuwa Adam peke yake hapa duniani, idadi ya Majini ilikuwa mia tatu [300]!! Hivi kwanini huwa unapenda ku mislead watu?

Sasa hao Majini 300 walio kuwepo wakati wa Adam waliwezaje kugawanyika katika makabila Milioni 72? Hakika uongo unapozidi, unashindwa hata kufanya hesabu za Chekechea.

cc Eiyer Mkuu wa chuo 2013 Lisa Valentine
 
Last edited by a moderator:

Majini wote ni Wabaya na ni Maislam na ni Machafu na YOOTE yanamswalia Muhammad mtume wao. Hakika Jahannam ipo kwa ajili yenu mnao fuga majini.

 
Last edited by a moderator:
Alafu uniambie ruhusa ya kula kitimoto umeipata wapi!!!!



Ruhusa ya kula mbuzi katoliki umeitowa wapi?
Pata elimu ya bure hapa:

WAISLAM WAMERUHUSIWA KULA MIZOGA NA DAMU NA NYAMA YA NGURUWE
====================================================
Surah Al Baqara 173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mzoga na damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
 
Uongo mtupu....jini ni shetani na ndio maana likaitwa jini...yaani 'Malaika walioasi pamoja na Lusifa'...so in really sense hakuna shetani mzuri wote ni wabaya..
Utakubali vpi kuongozwa na Maruhani badala ya Mungu?
Na kwa nini yakae ndani yako wakat Mungu alivyomuumba binadam alimuumba kama free soul?
Kwa nini yakutawale wakati binadamu aliambiwa kutawala viumbe vyote?

Mungu awape macho ya Rohoni ili muone....
 

mkuu kumbe hujui hata maana ya Jinn?
 
Nimesema hii ni maalumu kwa wahanga wa hivyo vitu we huna mwili wako basi kaa mbali.. halafu wengi wakikuskia una hivi vitu wanakushambulia sana, karibuni p.m tujue somo letu linaenda vipi kwa wale wanaohisi wanavyo na vinawasumbua au vimekaa tu havieleweki.

kama unapinga sema hivi; mm hapo sijaelewa kuhusu hili na hili lakini pia kuna hiki na hiki halafu ninaswali hili na hili...

#Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…