Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #41
"Different Is Danger"
Hii ni Power Katika Aina Ya Psychic Powers Nguvu Za Ziada kila mtu alizojaaliwa mtu na mola wake hii humuwezesha mtu yule kufanya mawasiliano na roho yoyote ambayo ni tofauti na binaadamu mfano jini,malaika,wanyama au wadudu....
mtu mwenye power hii huweza kuota mambo mbalimbali ya kiroho zaidi mfano akikuhadithia waweza kujiuliza how is this make sense.. baadhi ya watu wenye power hii huweza kuruhusu pepo kumtoka mtu likaenda zake lakini pia huweza kumfukuza mnyama kwa kumuangalia tu kihisia na akaondoka au akafanya kile mwenye nguvu hii alichowaza
matumizi ya nguvu hizi yanapotumika kufanya mema huitwa muujiza au roho mtakatifu kafanya mambo... mwenyezi mungu alishakupa uwezo huo zamani sana sema kuutumia ukawa hujui mungu anashukuliwa muda wote na kuabudiwa iwe ametenda muujiza au laa! kwa maana alishaumba vyote na kuvipa uwezo wa yote na kujaalia yote na kuweka njia mbili za kupita na binaadamu akampata free wills kuchagua apite wapi lakini hakuishia hapo akaamua kumpa na matokeo ya mwisho wa njia anayopita......
matumizi ya nguvu hizi yanapotumika kufanya uovu huitwa roho chafu au kazi ya shetani hali ya kuwa hakushiki mikono kufanya lile jambo bali ni your own free wills....
sasa mtu anapokuwa na power hii majini humuingia kwa kugombea humo huingia wema na wabaya...
ndio maana kwa wale wenye power hii hutolewa kwanza wachafu na kuachiwa wazuri ili waweze kufanya mema ndio hapa unakuja kuona kwamba wengi wa wakemea mapepo wao pia walishatolewa hii ni kwa wote na kuachiwa waliowema hii ndio wenzetu huita roho takatifu... yaani huisi wametolewa roho chafu na kuachiwa safi
.. hakuna malaika anaemuingia mtu hata siku moja... roho hiyo unayoita wewe takatifu ni jini anaekuwa na wewe katika maombi pamoja ili mola akusaidie kuwezekana lile uliloomba......
wanapokuwepo roho chafu ndio hapa sasa unakutana na wapiga ramli waganga wa kienyeji n.k
sasa lengo la uzi huu ni kutaka kuwasaidia wenye power hii ya mediumship kujitambua na kuitumia vema kaa mbalii wewe usiejua maana hutapata maana....
#Rakims