Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

Mkuu Rakims nna maswali mengi ya kuuliza kwa kuzingatia topic hapo. naamini una majibu yakutosha but ili tuende vizuri ningependa nikuulize moja ujibu moja then tuendelee.

SWALI LA KWANZA.

Umesema kuna majini aina mbili, 1 majini wema/wazuri na hapo umesema maruhani ndio wazuri na waliobaki ndio jini wabaya.

Je, hao majini wabaya (ambao sio maruhani) wanataka nini hasa kwa watu? maana kuna friend wangu anao wanne na wote wanamlinda but walimtaka rafiki awe anafanya dawa (uganga) ila kutokana na wazazi wa rafiki walikataa hilo na hatimaye walimtaka rafiki aoe na amesha oa. jee unafikiri ni nini kitafuata? do you think kwa vile walimtaka aowe na amesha owa ndio itaishia hapo?
Duuh Nomaa sana
 
Nimeamua kukupa jibu maana wewe umeogopa kutoa jibu na ukabakia kunitukana na kuniita majina ya ajabuajabu. Hivi kukiwa na Sheria ya kuto kula Nguruwe, kwanini iwepo na sheria nyingine ya kula Nguruwe. Hicho ndicho alicho fanya mungu wako.
Allah kasema don't eat port, it is haram. Baada ya massa kupita, Allah kageuza mawazo na kasema kula Nguruwe. Sasa lipi tufuate? Kula Nguruwe au kuto kula Nguruwe?

Kigeugeu hiyo ni sifa ya kiumbe chechote kile kisicho fahamu nini kinataka. Kama kula Nguruwe ni haram, basi hakuna jinsia, bali kubakia hivyo hivyo. Lakini, Allah kawaonea huruma na kuwaruhusu nyie wafanyakazi wake Kula Nguruwe. Sasa huo si Msiba na kizungumkutu?

Hebu soma hii sahih hadith:
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, unataka kunywa mvinyo? Mtume Muhammad akasema: Ndio. Basiyule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: LeteMvinyo ulio mkali ili ninywe; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa uleMvinyo Mkali alilewa"
Unaona jinsi unavyo kuwa kwenye hali mbaya kila kukicha. Yaani wewe ni kujitetea tu. Pole sana kijana wa Muhammad.

IN RED: Biblia haijabarisha kitu chechote kile. Nyie ndio mnatunga Biblia zenu siku hizi ili kuwadanganya watu.

QURAN SUURAT AN NAH'L (16:116).
Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa nandimi zenu: Hichi halali, na hichi haramu - mkimzulia uwongo MwenyeziMungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa.

ALLAH KASEMA UKISEMA HIKI SI HALAL(HARAM) Kumbe huko ni kumzulia Mwenyezi Mungu UONGO.

Ismail ,seems unafuatilia haya mambo vizuri,Napenda sana style ya uandishi wako .

Tell me the original language of Bible ?Then unafikiriaje unapo tafsiri kitu kutoka lugha moja kwenda nyingine ,do you get the same effect?

Does it make sense kusema au kuita translated bible a word of God ? As in bible ya Kiswahili unaiita ni maneno ya mungu ,does that make sense to you ?

I think bible ni the only book that has been translated into dozens of language ,and Christians rely on those translations as the word of GOD ,does that make sense to you ,Sir ?

Is it the word of God or literally meaning of the word of God ?

For example,
When Muslims recite or read translated Quran let say in Swahili ,they feel they are reading different book 'cause they don't get that effect of Original language,sound etc etc .'

Because that is the language through which the revelation was channeled,the language really matters ,And that has made Quran be easy memorized even if you don't understand its meaning,through the language ,Quran has positive effect when you listen,the sound has great impact in your body (general sound,anything like music ,instrument etc etc ).

So ,do you know why Quran must be read or recited aloud when Muslims pray? Perhaps Muslims themselves don't know this

This is because of the effect of sound as well as language,some people cry without even understand its meaning .As you see people can recite in different tone,this is to produce that effect and channeling the energy through SOUND .

Ndio maana Quran imekuja katika mtindo wa mashairi,yaani hata kusikiliza tu inaleta athari katika mwili.Sound matters ,sound has great effect in human realm ,you feel that .

And let me tell you one thing ,I know you don't believe in Quran and that is all right ,we can't believe everything ,otherwise you must be Stupid. The fact that Quran has remained in its original language from
The very beginning ,then it must make
Sense that the book is safe ,not infiltrated or distorted.kama kuna any distortion or infiltration basi itakua imetokea kipindi ambacho Quran imekua collected and
Written into books,na hilo pia seems ni ngumu Sababu Quran ilikua Imehifadhiwa vichwani for many Muslims of those days .

Unlikely Bible,I am not saying kwamba bible ina infiltration or distortion,the truth is I don't know ,but is likely to be .

Why ?

a.Almost all Christians don't have the Bible in its original language,they use translations as the word of God ,for me
It is just the meaning of the word of God ,you can't tell me that the Bible in swahili or French language is the word of GOD .No

b.All Christians are not able to memorize bible by heart ,and this is because of the translated version,some languages are difficult or impossible to memorize by heart a large portion.At least for Jews ,they memorize and read aloud the five Books of Moses ,(Torah)and they use it in its original language.

c.Bible was collected by those people who attempted to kill Jesus,the romans and corrupted Jews ,hence the thing like trinity ,son of God or God was invented in the Bible .The truth is ,Jesus himself never claimed that he was God or son of God ,never introduced trinity ,then who did ? Jews never believed that Jesus is God or son
Of God ,Muslims as well don't ,then where did Christians get this ? The core belief of Muslim and Jews is oneness,which means God is one .christians have this trinity.....,

Quran was collected by those people who loved Muhammad,and they hold firmly what he left for them despite of
Their differences.

So the misunderstanding of the verses which you have just mentioned,is because you take them literally,but Quran ,bible ,Torah is something divine
,and human beings use his consciousness to understand divine
,while human consciousness is less than divine,then you fall into a pit .those books are something metaphorically,not easy to understand them in a literal sense , or logic ,you must transcend .
 
Huyu jamaa tapeli huyu yani kwenye uzi zake tu utajua ni km agent wa shetani hv alivyokua mjanja kuvuta watu katoa sababu za kipuuzi kibao eti kujua km una jini eti ht kuchukia kuajiriwa yaaan nkisema nitoe comment moja kwenye huu uzi umesema binadamu hana akili
 
1. Nani anafanya sensa ya majini hata kujua yako 300 kwa kila binadamu?
2. Je, majini hayo yana serikali au namna ya uongozi? Mambo ya ukoo au kabila au race yakoje hapa?
3. Ni sifa gani unatakiwa uwe nazo ili majini yaingie kwako?
4. Kama majini yanazaana je yanabeba mimba? Kwa muda gani? Ratio ya ke na me ikoje?
5. Katika hayo majini, kuna yenye ulemavu?? au kasoro inayoweza kuwafanya wasiwe effective kama wenzao?
6. Jini mwenye miaka say 200 na yule wa miaka 500 tofauti yao ni nini?
7. Ukiacha jina la pepo au maruhani je majini haya huwa na majina yake (individua names) kama binadamu?
8. Je majini haya yanaishi tu kwa binadamu au hata katika wanyama wengine? Na kwa nguruwe je??
9. Jini wa kike aweza kukaa kwa mtu mwenye jinsia ya me?? Na wa kiume je?
10. Ni majini mangapi yanaweza kuishi ndani ya binadamu mmoja kwa wakati mmoja? Je, yenye jinsia tofauti yaweza kuishi ndani ya mtu mmoja kwa wakati mmoja?
11. Jini watoto wanafundishwaje kuweza ku-qualify kuishi ndani ya mtu?
12.Jini aweza kuzaa mapacha??
13.
14.
15.

Nina maswali mengi, nitaendelea kuuliza mengine nikishapata majibu ya haya ya utangulizi.
Bahati mbaya unamuuliza mtu ambaye kakalilishwa huko....
 
Ismail ,seems unafuatilia haya mambo vizuri,Napenda sana style ya uandishi wako .

Tell me the original language of Bible ?Then unafikiriaje unapo tafsiri kitu kutoka lugha moja kwenda nyingine ,do you get the same effect?

Does it make sense kusema au kuita translated bible a word of God ? As in bible ya Kiswahili unaiita ni maneno ya mungu ,does that make sense to you ?

I think bible ni the only book that has been translated into dozens of language ,and Christians rely on those translations as the word of GOD ,does that make sense to you ,Sir ?

Is it the word of God or literally meaning of the word of God ?

For example,
When Muslims recite or read translated Quran let say in Swahili ,they feel they are reading different book 'cause they don't get that effect of Original language,sound etc etc .'

Because that is the language through which the revelation was channeled,the language really matters ,And that has made Quran be easy memorized even if you don't understand its meaning,through the language ,Quran has positive effect when you listen,the sound has great impact in your body (general sound,anything like music ,instrument etc etc ).

So ,do you know why Quran must be read or recited aloud when Muslims pray? Perhaps Muslims themselves don't know this

This is because of the effect of sound as well as language,some people cry without even understand its meaning .As you see people can recite in different tone,this is to produce that effect and channeling the energy through SOUND .

Ndio maana Quran imekuja katika mtindo wa mashairi,yaani hata kusikiliza tu inaleta athari katika mwili.Sound matters ,sound has great effect in human realm ,you feel that .

And let me tell you one thing ,I know you don't believe in Quran and that is all right ,we can't believe everything ,otherwise you must be Stupid. The fact that Quran has remained in its original language from
The very beginning ,then it must make
Sense that the book is safe ,not infiltrated or distorted.kama kuna any distortion or infiltration basi itakua imetokea kipindi ambacho Quran imekua collected and
Written into books,na hilo pia seems ni ngumu Sababu Quran ilikua Imehifadhiwa vichwani for many Muslims of those days .

Unlikely Bible,I am not saying kwamba bible ina infiltration or distortion,the truth is I don't know ,but is likely to be .

Why ?

a.Almost all Christians don't have the Bible in its original language,they use translations as the word of God ,for me
It is just the meaning of the word of God ,you can't tell me that the Bible in swahili or French language is the word of GOD .No

b.All Christians are not able to memorize bible by heart ,and this is because of the translated version,some languages are difficult or impossible to memorize by heart a large portion.At least for Jews ,they memorize and read aloud the five Books of Moses ,(Torah)and they use it in its original language.

c.Bible was collected by those people who attempted to kill Jesus,the romans and corrupted Jews ,hence the thing like trinity ,son of God or God was invented in the Bible .The truth is ,Jesus himself never claimed that he was God or son of God ,never introduced trinity ,then who did ? Jews never believed that Jesus is God or son
Of God ,Muslims as well don't ,then where did Christians get this ? The core belief of Muslim and Jews is oneness,which means God is one .christians have this trinity.....,

Quran was collected by those people who loved Muhammad,and they hold firmly what he left for them despite of
Their differences.

So the misunderstanding of the verses which you have just mentioned,is because you take them literally,but Quran ,bible ,Torah is something divine
,and human beings use his consciousness to understand divine
,while human consciousness is less than divine,then you fall into a pit .those books are something metaphorically,not easy to understand them in a literal sense , or logic ,you must transcend .
Naona unajitahidi kweli kutetea uchawi.
 
Majini ni dhaifu

Nilipokuwa mtoto siku moja usiku tukiwa tumelala mama aliweweseka
Tukaenda kumwamsha baba
Alipokuja na kumwuliza mama nini kimetokea akazibu " sisi mi majini tunahitaji mtufukizie ubani na mtuchinjie kuku tunywe damu yake"
Baba akasema
Ivi ninyi majini huko kwenu hakuna mibani au kuku za kuchinja ili mnywe damu yake ?
Au kama mna njaa kwanini hamkai kwa watu matajiri ili wakila kuku nanyi mnaambulia supu ya mchuzi wake
Majini yakamwambia baba atii masharti waliyo mwaguza la sivyo yata mwadhibu mkiti (mama) au baba.
Baba akakasirika sana akawaambia majini kuwa, ninyi ni dhaifu mmeshindwa hata kufuga kuku?
Akasema, kuanzia leo sitaki kunisumbua na kama ninyi mnanguvu hebu jitokezeni hadharani niwachaape barabara.
tokeni nje ya mwili nikupigeni maana mnajidai mmejificha ndani ya mtu ambaye siwezi kumpiga nitamuumiza, tokeni tuchapane kama ni wanaume kweli ******
Kama hamtajitokeza sitaki kuwasikia tena kusumbua watu hapa.
Majini yakabaki kupiga mkwala hoo...tutakuua sisi tunanguvu kupita mwatu

Kimya yakashindwa kujitokeza hadharani yazichape na baba na sisi tungeingilia kwenye ugomvi huo.

Toka siku hiyo navidharau sana viumbe vinavyo itwa Majini. Kuna jirani yangu viliamka vikawa eti vinadai vipewe bia SAFARI

Sitanii binadamu anaye tegemea msaada, ushauri, kazi, utumishi, kutii majini, ni wa kiwango dhaifu sana.

Mimi ni Super human,
siwezi kujidhalilisha kwa viumbe dhaifu vinavyoitwa Majini.
Ni pepo wachafu wasio na uwezo wa hata kurusha jiwe.

Binadamu ukivitii viumbe jini utaishia kuwa, dhaifu, mjinga, mchafu, maskini, roho mbaya, mgonjwamgonjwa, nk.
utafanana navyo

Amina
 
Nice experience but inategemea na daraja la majini waliopo kwenye kichwa cha mama yako jini Wa maana haombi hivyo viuchafu yeye hukupa habari za maana sasa huenda mama alikua na vile wakiristo wanaita mapepo sio majini, usilolijua mkuu
 
Kwa KUANZA Naushusha UZI Huu Maalumu Kwa Watu Mwenye Marohani/Majini WASAFI Yaani ASIE Kutesa Wala Kukushurutisha Yupo Tu Labda Kukushauri Au Mambo Mengine Sizungumzii Kuwaalika Watu Hapa Wasio Na MAJINI vichwani au Ndotoni Tofauti Na Majini Wachafu(pepo mbaya).... Wala Wasioamini Uwepo Wa Hawa Viumbe.. wala wenye imani (-) na Hawa Viumbe HIVYO tafadhali Kama Haikuhusu KAA Mbali na Huu UZI....

Kwa Kuanza:

Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita.
Viumbe hawa wana tabia kubwa mbili;

Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa.
Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo wa kujigeuza katika umbo lolote wanalotaka na vile

vile wanaruka na kwenda wanakotaka au kupita wanakotaka bila kutumia chombo chochote.
Taifa la Majini limegawanyika katika makabila Milioni Sabini na mbili (72,000,000) na wana uwezo wa kujifunza lugha yeyote wanaoitaka.

Idadi ya Majini ni kila Binadamu mmoja kuna Majini 300 na wanaishi katika Majumba yetu, kwenye Miti, Majangwani, Kwenye Mapango na Sehemu zenye Misitu Mikubwa.

Majini wako katika aina Mbili (2); Maruhani na Mashetani.
Maruhani ni Majini wema ambao wanamtii Mwenyezi Mungu na wanawasaidia Binadamu katika mambo mengi.
Mashetani ni Majini Waovu ambao ni wakorofi na wanawaletea Watu madhara na Matatizo mara kwa mara.

Majini Ni Viumbe Ambao WAPO Kama WANAADAMU Kwa kuwa na free wills yani maamuzi ya uhuru kwamba naamini au siamini iwe katika mungu au shetani.. sita waelezea sana kwa maana wameshaelezewa sana ila mimi napiga mng'arisho au msasa ili ufahamu wa watu uzidi kuongezeka..

VIUMBE Hawa wamegawanyika makundi mawili wapo waliomuamini mungu mmoja hawa huitwa marohani na wapo ambao hawajaamini wanamfuata shetani pia wao wanaitwa mapepo wachafu au majini wabaya mradi tu wawekwe kwenye ubaya ubaya..

ila wao kwa jina la kundi tunaweza kuwaita walioasi au waislamu huwaita makafiri wa kijini na wakristo huwaita mapepo wachafu.

Pepo wachafu au makafir wa kijini kwa ujumla majini waliumbwa kabla ya wanaadamu na walipewa machaguo ya uhuru wengi wao wakamuasi mwenyezi mungu ndio amri ikashuka kwamba waangamizwe wote na malaika viumbe watiifu wakashuka na kuja kuangamizi majini wengi..

Lakini hawakuangamizwa wote kwa maana wengine walipewa uwezo na mwenyezi mungu kuingia popote vyovyote hivyo waliingia majabarini chini ya mabahari na wengine waliingia katika matumbo ya wanyama..
.
vile malaika hawakupewa uwezo huo wakarudi na kumtaarifu mwenyezi hali halisi ndipo wakaruhusiwa kuwaacha wale waliokimbia....

Baadhi waliogopa sana kwa kuona mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu wakaanza kutubu ndio hawa huitwa leo Majini wema Au Maruhani..

Waliobaki wengine walijiona wenye nguvu na waliweza kujihisi wamemkimbia mwenyezi na Wakaendelea Kufanya Maasi Yao...

kitu kingine watakiwa kujua majini wapo mara 300 yako wewe yani kila binaadamu wapo mara idadi hiyo yake Viumbe Hawa huishi miaka mingi wengine hufika hadi miaka 1000/-

majini wema hawamkalii mtu kwa ubaya humpenda na kutamani kumsaidia.. hawampotoshi imani yake alionayo humuangalia tu nakumsaidia mambo mengi tu bila kujijua kama mtu kufaulu vema bila kujijua wala kusoma sana, kupendwa pendwa na watu, kupenda mambo ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili, humfanya mtu awe na huruma.

Kumletea ndoto njema akilala na humpunguzia maumivu ya mwili bila kujijua.. kumfanya afikirie jambo jema mtu hadi alifanye.. hawana roho mbaya hulia pale unapofanyiwa ubaya wengine hupanda kichwani na kulia sana pale unapouziwa wengine hukupitishia kitu kama hope rohoni au barafu unajiskia umekaa sawa na kusema one day yessss! huomba pamoja na wewe pale unapotupa malalamiko yako kwa mwenyezi mungu kwa imani yako....

majini wabaya au pepo wachafu humfunga mtu riziki zake na humrudisha nyuna mtu mambo yake na kumbaka kumfedhehesha mpaka akaanza kumkufuru mola wake, na kuanza kujihusisha na ushirikina ndio anaona anafanikiwa humnyanyasa ndotoni kwa kuota anakimbizwa anapigana anatukanwa.. anadhalilishwa anaumwa anateswa na akiamka anakuwa hana raha... humjaza mtu ujasiri anapotaka kufanya tukio chafu....

jinsi ya kujijua kama una jinni:

MSAFI/MCHAFU AU Huna tu

kwa kuwa hawa ni viumbe tuwafananishe na bacteria wanapokuingia huwaoni lakini madhara mwili unapata...

ZIFUATAZO NI DALILI ZA KUJUA KAMA UNA JINI MSAFI AU MCHAFU KIIMANI
..

1: Kuumwa kichwa kisichojulikana mwanzo wala mwisho mradi tu kinauma kila siku muda wowote

2. Uzito ktk Mabega au hata kichwani kwenyewe.

3. Kuota vitu vya kutisha usingizini

4. Kuchukia kuona au kuolewa km bado hujaoa au kuolewa.

5. Kwa alie Oa au kuolewa huchukia Tendo la ndoa

6. Kupatwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa au baada

7. Baadhi ya wanawake hukosa Maji maji katika UKE wakati wa kufanya tendo la ndoa na hivyo wakati mwingine hupatwa na michubuko endapo lita lazimishwa tendo hilo

8. Baadhi ya wanaume hushindwa kumalizia vizuri tendo la ndoa au kumaliza haraka zaidi na kisha kupatwa na usingizi Mzito Mara tu baada ya kumaliza Tendo la ndoa.

9 Km una mke au Mme hutaki kufanya nae tendo la ndoa na usiku huo ulio kataa unaota unafanya na mtu mwingine.

10.Kuwa na hasira za ajabu wakati wa kuamka asubuhi.

11.Wakati mwingine huona km kuna mtu kakuinamia wakati ukiwa umelala taa imezima(kiza)

12.Wakati mwingine huhisi km kuna mtu anatembea ndani ya chumba ulicho lala. Ukijaribu kuwa makini kumsikiliza au kuwasha taa humuoni mtu yeyote.

13: kujilaumu hadi kuhisi kulengwa na machozi kwa kosa dogo tu

14: kuchukia kutumwa na hupenda kujiajiri

15: kuchukia sana dhambi

16: ukikaa sehemu ya kimya sana unasikia watu wanaongea kichwani

17: kuota unasali kila mara hali ya kuwa kama unajilazimisha kusali ikiwa imekupita hata sala moja

18: kustuka saa nane usiku baada ya kuota umeamshwa kusali au adhana ya kwanza kwa mwislamu

19: kuota unamuombea mtu na mwili wako kujaa nguvu kwa mkiristo

20: kuota unaongea na kiumbe asiekuwa binaadamu either mnyama au ndege..

zipo hizo ni baadhi tu.. hii ni fursa kwako wewe mwenye majini kujitambua je ulionayo ni mema au mabaya? na unayatumia au yanakaa tu? unayatoa au unabaki nayo unaongeza elimu ili usimkufuru mwenyezi kwa kuwa na majini....

karibuni
P.M Namba Yako Tutengeneze group ya WHATSAPP Ya watu wenye maruhani tufundishane namna ya kuwatumia vema ili wasitupotoshe ikiwa unao na unajificha basi kumbuka huwezi kukimbia kivuli chako..

Walikupeleka wapi walikufundisha nini? yapi ya ajabu uliyaona? yapi yalikufanya ukainua mikono juu ukasema kweli mwenyezi umeumba hawa viumbe? haya na mengine mengi tutayaangalia humo kwenye group.

kuna watu hawana na wanawish wawajue na wawe nao nafasi zipo 15 tu na kuingia kwenye group jini wachafu hatuta fundisha...
. 30 wale wenye marohani wasiojuwa jinsi ya kuwaongoza na kuwatumia...

karibu tujadiliane....

[HASHTAG]#Rakims[/HASHTAG]

Hao wanaoongea kichwani wanakuwaga kinanani
 
JINI MAHABA.jpg

jini mahaba la kike kwa jina anaitwa succubi

JE JINI MAHABA NI JINA WA AINA GANI?

Leo Tunamzungumzia Jini Mahaba
Ukikumbwa na Jini Mahaba ikiwa wewe ni Mwanamke basi utakumbwa na Jini Mahaba wa kiume la kama wewe ni

Mwanamme
utakumbwa na Jini Mahaba Mwanamke na akisha kukingia kutoka kwake ni kwa kazi ngumu sana mpaka umpate mtu anayeweza

kumuondowa tena kwa gharama kubwa sana. Na ukiwa na Jini
Mahaba anakutia mikosi ikiwa wewe ni Mwanamke basi hutoolewa au ukiwa ndani ya ndoa hutoweza kupata mtoto au

kama unapata watoto watakuwa watoto wengine wanakufa bila ya
sababu muhimu, na ukiwa kwenye siku zako unatowa damu nyingi au siku zako zinakuwa zinabadilika bila ya mpango maalumu.Au ukiwa kwenye tendo la ndoa unakuwa hujisikii raha kimapenzi basi ukiwa na hizo dalili ujijuwe kuwa wewe una Jini Mahaba na

ukiwa nalo hilo Jini Mahaba hata kama ukienda Hospitali hawawezi kumuona kwenye vipimo vya Ma-Hospitali utakuwa unaumwa kila wakati maradhi ya kichwa au homa zisizo kwisha kila wakati

utakuwa unaumwa asubuhi jioni uu mzima.au unaumwa kila jioni
asubuhi wewe ni mzima. Kwa Mwanamme akikumbwa na Jini Mahaba atakuwa ni mtu asiyependa wanawake kila anapo lala

usiku huyo Jini Mahaba humjia huyo Mwanamme na kufanya nae Mapenzi ndani ya usingizini na wewe Mwanamme utakuwa wakati mwengine una upungufu wa nguvu za kiume hasira zisizo kwisha
kila wakati unapo amka unakuwa upo mchovu bila ya sababu utakuwa mtu mwenye mikosi unafukuzwa kazi bila ya sababu utakuwa wewe mwanamme unapoteza kila wakati pesa na kuchukiwa na marafiki zako na unakuwa hupendi kuwa na watu kwa

pamoja hizo ni baadhi ya dalili ya mtu mwenye Jini wa mahaba kwa mwanamme. Kwa ufupi Sio kitu kizuri kuwa na Jini Mahaba kwa sababu anakutia wewe Mikosi unakuwa huna pesa wala Maisha yako yanaharibika.
Majini ni nini?
Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita.

Viumbe hawa wana tabia kubwa mbili;
Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa.
Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo wa kujigeuza katika umbo lolote wanalotaka na vile vile wanaruka na kwenda wanakotaka au kupita wanakotaka bila kutumia chombo chochote.
Taifa la Majini limegawanyika katika makabila Milioni Sabini na mbili (72,000,000) na wana uwezo wa kujifunza lugha yeyote wanaoitaka.

Idadi ya Majini ni kila Binadamu mmoja kuna Majini 300 na wanaishi katika Majumba yetu, kwenye Miti, Majangwani, Kwenye Mapango na Sehemu zenye Misitu Mikubwa.
Majini wako katika aina Mbili (2); Maruhani na Mashetani.
Maruhani ni Majini wema ambao wanamtii Mwenyezi Mungu na wanawasaidia Binadamu katika mambo mengi.
Mashetani ni Majini Waovu ambao ni wakorofi na wanawaletea Watu madhara na Matatizo mara kwa mara.
Baba wa Majini anaitwa JANN ambaye kimaumbile yeye ana tofauti ndogo na wenzie kwamba yeye ameumbwa kwa ulimi wa Moto.

Pamoja na mambo mengi wanayoyafanya Majini na kujihusisha na
binadamu, Majini vilevile wanafanya kazi za Malaika hasa zile za mambo ya kupeleka Habari na kuwalinda Binadamu, mambo ya doria za Angani. Kazi hizi siyo zao lakini kwa vile wanapenda kuiga mambo basi huiga hata kazi ambazo siyo zao.

Majini na Binadamu wana sifa zinazofanana kwani wote wana akili na wote watahesabiwa siku ya Kiama na watazawadiwa kwa mema yao na maovu yao, wote wanakula na kuzaa.

Kama ilivyo, kuna wataalamu wa Kijini wenye fani sawa na Wataalamu wa Kibinadamu wenye kufanya kazi zinazofanana.

Tofauti kubwa iliyopo kati ya Majini na Binadamu ni kwamba; Majini hawana maumbile maalum na wana uwezo wa kujibadilisha katika maumbile mbalimbali ingawa wengi wa Majini wapo katika maumbile ya paka, nyoka na ndege.
Binadamu wao wana umbile maalum ambalo halibadiliki.

Majini wana uwezo wa kuwaingia Binadamu wakati Binadamu hawana uwezo wa kuwaona Majini isipokuwa kwa ufundi maalum.

Namna Majini wanavyowaingia Binadamu iko katika njia tatu:-

Njia ya kwanza (1): ni kama Remote Control; Hii inamfanya yule aliyedhibitiwa kuweza kuelewa au kuwa na fahamu zake lakini anakuwa hawezi yeye mwenyewe kuudhibiti mwili wake na anasema yale anayotaka yule Jini.

Njia ya Pili (2); Jini humwingia Binadamu ndani ya utosi na kuingia katika Mfumo wa Damu. Hii inamfanya yule Binadamu kupoteza fahamu na anakuwa haelewi kabisa kinachoendlea na anafanya yote anayotaka yule Jini.

Njia ya Tatu (3) ni ile ya Jini kukaa nyuma ya Binadamu. Njia hii humfanya yule Binadamu anakuwa hapotezi fahamu ila anakuwa hawezi kufanya lolote na mwili wake.

Majini vilevile wana uwezo wa Kusafiri kwa kasi ya upepo bila kutumia chombo chochote; Binadamu hana uwezo huo isipokuwa kwa msaada wa Majini.
Hiyo ni kusema kwamba mambo yote yanayofanywa na Wachawi na Wanga hayawezekani isipokuwa kwa msaada wa Kijini.

Jambo la muhimu ni kwamba pamoja na uwezo mkubwa walionao Majini, Wanadamu wana uwezo wa Kumtawala na Kumdhibiti Jini na vivyo hivyo Majini nao wanaweza kumtawala na kumdhibiti
Binadamu wote kwa kutumia utaalamu maalum.

Wako Majini wa kila Dini na kila Kabila, na kuna watu wanaofuga Majini kwa kujikinga, na kwa kuboresha kazi zao au kujipatia utajiri. Pia kuna watu wanaofunga ndoa na Majini kwa kutumia utaalamu au kwa hiari za Majini hao.
Wabaya wa Majini ni Mashetani ambao wengi hawana Dini na ndio wanaoharibu mimba za Wazazi na kufanya mapenzi na watu usingizini bila hiari zao.
Kuepuka usichafuliwe kimapenzi, kabla ya kulala piga Bismillahi kwa Muislamu au taja jina la Yesu mara tatu kwa Mkristo.

MAUMBILE YAO YAKOJE?
Majini wana maumbile makuu manne (4);
Wanakuwa katika maumbile ya Nyoka.
Wanakuwa katika maumbile ya Nge.
Wanakuwa katika maumbile ya Mbwa.
Wanakuwa katika maumbile ya Paka (Mweusi).

Kuna Majini wengine hawana maumbile yeyote na hawa shughuli yao ni kuruka hewani kuzunguka huku na kule na husafiri mbali kwa mara moja yaani kufumba na kufumbua.

SURA ZA MAJINI NA MASHETANI:
Majini sura zao ni za kutisha na mfano wake ni kama Matunda ya Mti wa Zaqum ambao unatoa matunda yenye sura mbaya na yanayofanana na mawe.

Majini wanakuwa na mkutano kila siku nyakati za kuchomoza na kuzama Jua na nyakati hizo ndizo ambazo wanafanya maasi yao.

Fitna na Maasi yao mengi wanafanyia upande wa Mashariki.
Majini vilevile wanaweza kujigeuza kama mbwa mweusi au paka mweusi kwa sababu Majini wanapenda Rangi Nyeusi kwa sababu ya kiza.

WANAKULA NINI?
Majini wao wanakula mifupa na mavi ya farasi. Hivyo ni vyaluka vyao vikuu pamoja na kwamba wengine wanakula Moshi (Ubani) na wengine wanapenda kunywa damu.
Wanapokula au kunywa, wao hutumia mkono wa kushoto na Majini wazuri ndio ambao wanakula mifupa mizuri na kuwaachia mifupa mibaya na uchafu Majini wabaya au Mashetani.

JE MAJINI WANAZAA?
Majini wanaoa na kuongezeka kama tulivyo Binadamu na huzaana kwa wingi sana.
Katika wao kuna wale wanaokula na kuoana na kuna wale ambao hawafanyi hayo.
Binadamu Mwanamume ana uwezo wa kumuoa Jini Mwanamke na Jini wa Kiume ana uwezo wa kumuoa Binadamu Mwanamke pamoja na kwamba ndoa inayotambulika na Mwenyezi Mungu ni ya kiumbe kwa kiumbe yaani Binadamu kwa Binadamu na Jini kwa Jini.

Haya ni baadhi ya maelezo kuhusu Majini, zidi kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwani hii ni mwanzo tu na tutazidi kuwaletea habari za ndani kuhusu majini na tabia zao, jinsi ya kujikinga nao au kushirikiana nao.
Ukiwana Swaliau shida yoyote ile usikose kunitafuta . Kwa mawasiliano
Herbalist Dr.MziziMkavu
Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
Simu (Whatsapp) +90 534 450 8169
 
Kwa KUANZA Naushusha UZI Huu Maalumu Kwa Watu Mwenye Marohani/Majini WASAFI Yaani ASIE Kutesa Wala Kukushurutisha Yupo Tu Labda Kukushauri Au Mambo Mengine Sizungumzii Kuwaalika Watu Hapa Wasio Na MAJINI vichwani au Ndotoni Tofauti Na Majini Wachafu(pepo mbaya).... Wala Wasioamini Uwepo Wa Hawa Viumbe.. wala wenye imani (-) na Hawa Viumbe HIVYO tafadhali Kama Haikuhusu KAA Mbali na Huu UZI....

Kwa Kuanza:

Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita.
Viumbe hawa wana tabia kubwa mbili;

Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa.
Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo wa kujigeuza katika umbo lolote wanalotaka na vile

vile wanaruka na kwenda wanakotaka au kupita wanakotaka bila kutumia chombo chochote.
Taifa la Majini limegawanyika katika makabila Milioni Sabini na mbili (72,000,000) na wana uwezo wa kujifunza lugha yeyote wanaoitaka.

Idadi ya Majini ni kila Binadamu mmoja kuna Majini 300 na wanaishi katika Majumba yetu, kwenye Miti, Majangwani, Kwenye Mapango na Sehemu zenye Misitu Mikubwa.

Majini wako katika aina Mbili (2); Maruhani na Mashetani.
Maruhani ni Majini wema ambao wanamtii Mwenyezi Mungu na wanawasaidia Binadamu katika mambo mengi.
Mashetani ni Majini Waovu ambao ni wakorofi na wanawaletea Watu madhara na Matatizo mara kwa mara.

Majini Ni Viumbe Ambao WAPO Kama WANAADAMU Kwa kuwa na free wills yani maamuzi ya uhuru kwamba naamini au siamini iwe katika mungu au shetani.. sita waelezea sana kwa maana wameshaelezewa sana ila mimi napiga mng'arisho au msasa ili ufahamu wa watu uzidi kuongezeka..

VIUMBE Hawa wamegawanyika makundi mawili wapo waliomuamini mungu mmoja hawa huitwa marohani na wapo ambao hawajaamini wanamfuata shetani pia wao wanaitwa mapepo wachafu au majini wabaya mradi tu wawekwe kwenye ubaya ubaya..

ila wao kwa jina la kundi tunaweza kuwaita walioasi au waislamu huwaita makafiri wa kijini na wakristo huwaita mapepo wachafu.

Pepo wachafu au makafir wa kijini kwa ujumla majini waliumbwa kabla ya wanaadamu na walipewa machaguo ya uhuru wengi wao wakamuasi mwenyezi mungu ndio amri ikashuka kwamba waangamizwe wote na malaika viumbe watiifu wakashuka na kuja kuangamizi majini wengi..

Lakini hawakuangamizwa wote kwa maana wengine walipewa uwezo na mwenyezi mungu kuingia popote vyovyote hivyo waliingia majabarini chini ya mabahari na wengine waliingia katika matumbo ya wanyama..
.
vile malaika hawakupewa uwezo huo wakarudi na kumtaarifu mwenyezi hali halisi ndipo wakaruhusiwa kuwaacha wale waliokimbia....

Baadhi waliogopa sana kwa kuona mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu wakaanza kutubu ndio hawa huitwa leo Majini wema Au Maruhani..

Waliobaki wengine walijiona wenye nguvu na waliweza kujihisi wamemkimbia mwenyezi na Wakaendelea Kufanya Maasi Yao...

kitu kingine watakiwa kujua majini wapo mara 300 yako wewe yani kila binaadamu wapo mara idadi hiyo yake Viumbe Hawa huishi miaka mingi wengine hufika hadi miaka 1000/-

majini wema hawamkalii mtu kwa ubaya humpenda na kutamani kumsaidia.. hawampotoshi imani yake alionayo humuangalia tu nakumsaidia mambo mengi tu bila kujijua kama mtu kufaulu vema bila kujijua wala kusoma sana, kupendwa pendwa na watu, kupenda mambo ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili, humfanya mtu awe na huruma.

Kumletea ndoto njema akilala na humpunguzia maumivu ya mwili bila kujijua.. kumfanya afikirie jambo jema mtu hadi alifanye.. hawana roho mbaya hulia pale unapofanyiwa ubaya wengine hupanda kichwani na kulia sana pale unapouziwa wengine hukupitishia kitu kama hope rohoni au barafu unajiskia umekaa sawa na kusema one day yessss! huomba pamoja na wewe pale unapotupa malalamiko yako kwa mwenyezi mungu kwa imani yako....

majini wabaya au pepo wachafu humfunga mtu riziki zake na humrudisha nyuna mtu mambo yake na kumbaka kumfedhehesha mpaka akaanza kumkufuru mola wake, na kuanza kujihusisha na ushirikina ndio anaona anafanikiwa humnyanyasa ndotoni kwa kuota anakimbizwa anapigana anatukanwa.. anadhalilishwa anaumwa anateswa na akiamka anakuwa hana raha... humjaza mtu ujasiri anapotaka kufanya tukio chafu....

jinsi ya kujijua kama una jinni:

MSAFI/MCHAFU AU Huna tu

kwa kuwa hawa ni viumbe tuwafananishe na bacteria wanapokuingia huwaoni lakini madhara mwili unapata...

ZIFUATAZO NI DALILI ZA KUJUA KAMA UNA JINI MSAFI AU MCHAFU KIIMANI
..

1: Kuumwa kichwa kisichojulikana mwanzo wala mwisho mradi tu kinauma kila siku muda wowote

2. Uzito ktk Mabega au hata kichwani kwenyewe.

3. Kuota vitu vya kutisha usingizini

4. Kuchukia kuona au kuolewa km bado hujaoa au kuolewa.

5. Kwa alie Oa au kuolewa huchukia Tendo la ndoa

6. Kupatwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa au baada

7. Baadhi ya wanawake hukosa Maji maji katika UKE wakati wa kufanya tendo la ndoa na hivyo wakati mwingine hupatwa na michubuko endapo lita lazimishwa tendo hilo

8. Baadhi ya wanaume hushindwa kumalizia vizuri tendo la ndoa au kumaliza haraka zaidi na kisha kupatwa na usingizi Mzito Mara tu baada ya kumaliza Tendo la ndoa.

9 Km una mke au Mme hutaki kufanya nae tendo la ndoa na usiku huo ulio kataa unaota unafanya na mtu mwingine.

10.Kuwa na hasira za ajabu wakati wa kuamka asubuhi.

11.Wakati mwingine huona km kuna mtu kakuinamia wakati ukiwa umelala taa imezima(kiza)

12.Wakati mwingine huhisi km kuna mtu anatembea ndani ya chumba ulicho lala. Ukijaribu kuwa makini kumsikiliza au kuwasha taa humuoni mtu yeyote.

13: kujilaumu hadi kuhisi kulengwa na machozi kwa kosa dogo tu

14: kuchukia kutumwa na hupenda kujiajiri

15: kuchukia sana dhambi

16: ukikaa sehemu ya kimya sana unasikia watu wanaongea kichwani

17: kuota unasali kila mara hali ya kuwa kama unajilazimisha kusali ikiwa imekupita hata sala moja

18: kustuka saa nane usiku baada ya kuota umeamshwa kusali au adhana ya kwanza kwa mwislamu

19: kuota unamuombea mtu na mwili wako kujaa nguvu kwa mkiristo

20: kuota unaongea na kiumbe asiekuwa binaadamu either mnyama au ndege..

zipo hizo ni baadhi tu.. hii ni fursa kwako wewe mwenye majini kujitambua je ulionayo ni mema au mabaya? na unayatumia au yanakaa tu? unayatoa au unabaki nayo unaongeza elimu ili usimkufuru mwenyezi kwa kuwa na majini....

karibuni
P.M Namba Yako Tutengeneze group ya WHATSAPP Ya watu wenye maruhani tufundishane namna ya kuwatumia vema ili wasitupotoshe ikiwa unao na unajificha basi kumbuka huwezi kukimbia kivuli chako..

Walikupeleka wapi walikufundisha nini? yapi ya ajabu uliyaona? yapi yalikufanya ukainua mikono juu ukasema kweli mwenyezi umeumba hawa viumbe? haya na mengine mengi tutayaangalia humo kwenye group.

kuna watu hawana na wanawish wawajue na wawe nao nafasi zipo 15 tu na kuingia kwenye group jini wachafu hatuta fundisha...
. 30 wale wenye marohani wasiojuwa jinsi ya kuwaongoza na kuwatumia...

karibu tujadiliane....

[HASHTAG]#Rakims[/HASHTAG]
Nimewahi kuwa Twabibu kwa watu wenye majini, dalili hizo ulizotaja hakuna ya Jini mwema.
Jini mwema hakai kichwani mwa mtu, yeye huwa na ishu zake, hao wanaokaa vichwani mwa watu ni Mashetani naomba usipotoe hili. Kukaa mwilini mwa mtu tayari ni mateso anampa, je kuna Mchamungu anayetesa kiumbe mwingine?

Pia Mungu hakuwapa uwezo wa kujigeuza kila kitu, kawapa vipawa tofauti kama ilivyo sisi.Wapo majini wanaoweza kujigeuza Mwanadamu na wapo wasiyoweza, tena hawa wasiyoweza hujigeuza Wanyama na wanakuwa na rangi moja tu ambayo ni Nyeusi.

Sifa ya jini mwovu mojawapo ni uongo, unaweza kumsomea ukamuuliza hivi atajibu vile na kesho swali lilelile atakujibu kingine. Ndiyo haohao hujifanya wanamwingia mtu ili wamfundishe mema ila ni inakuwa ni hila tu akae mwilini, ushawahi kuona wapi mtu anaamriwa na jini afanye ibada na jini ikaswihi. Wengi wanaweza kuswali wakikaribia kumaliza hutoa kicheko, ibada hakuna hapo. Hili umelificha unataka watu watumie majini kwenye maisha yao si ushirikina huo.

Yaani unataka watu kwenye kundi lako huko whatsapp ukawafundishe ushaytwan huo hata kitabu kitukufu hakiruhusu. Hakuna kitabu kinachoruhusu kutimia majini. Huo ni mwanzo wa ushirikina, hata wachawi hutumia majini kuwafanya wawe na nguvu huu ndiyo mwanzo wao

USIPOTOE WATU.
 
Si majini wote pia wanauwezo wa kukaa kichwani kwa MTU halafu kumbuka kuna majini wapo tabaka nne na wapo katika falme saba mkuu utabibu wako umekwama vile hujui hata tabaka na falme zao wewe kuna jini ambae pia hapo ulipounae ambae ni mwanamke anamavazi meupe na mekundu anakufuata sana na Leo usiku utamuona pia na ndie anaekusukuma mambo Fulani Fulani kuna majini na vijini mkuu kwanza jini hakai kichwani kwa mtu anampulizia tu upepo na yule MTU kufanya anayoyataka yule MTU na kichwa cha somo hapo nimeandika wenye majini au pembeni yao, utahangaika sana kumjua huyu jini ulienae vile ulishadanganywa ametoka, n by de way mganga hujigangi...

Rakims
 
Mimi sijaingia deep ila nimekosoa hayo maneno yako si lengo la kuendelea kutoa somo. Kama upo kwa nia njema, usipotoe watu..

[emoji2]ukaamua unipige mkwara kama unanijua vile, ukiniambia hayo ya kufuatwa na Jini naona kama stori maana Mungu ndiye mlinzi wangu nikilala naomba ulinzi wake. Kuna wa kimtisha na hayo ila si mimi
 
Back
Top Bottom