Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

Wanangu wenye shida hii msikate tamaa na usikufuru Mungu kwa maana yeye ndiye mkadiriaji wa kila jambo, nilipata hii changamoto nikajikubali moja kati ya tips zilizonisaidia kujitambulisha kwa watu kua una changamoto fulani ukifika sehemu waambia na ujitambulishe kila kitu kinakua smooth japo aibu inakufika sometimes, usipende kujitenga sana pia inachangia kuongezeka kwa tinnitus yako . Kwa ambao unatarajia kufanya jambo fulani either kusoma or otherwise usikate tamaa endelea na kile ambacho unataka kufanya, kusaidiwa kupo na kupona pia kupo nina ushuhuda kuna dem alikua hasikii kabisa nikiwa chuo nilimpenda sana na kumjali akaja kupona kabisa hadi lle kuongea na simu,shida ni zie sindano zilimletea side effects. Kuna dem pia nilikutana nae kwenye oral interview yeye hasikii kabisa bora hata mimi nimempa tips za interview na possible questions akafaulu na kunishukuru sana, tena anakula mshahara na posho nzuri kuliko mimi ambaye nilichaguliwa wilayani na yeye baada ya mwezi mmoja akaitwa wizara ya ardhi.
 
Back
Top Bottom