mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
wewe ulifanya nini ili isichafuliwe??Umetupeleka mbali sana.
Hiyo ndiyo Dar yetu. Sasa imechafuliwa sana na wakuja.
kazi kupaka hina na kukaa vibarazani na kupiga umbea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ulifanya nini ili isichafuliwe??Umetupeleka mbali sana.
Hiyo ndiyo Dar yetu. Sasa imechafuliwa sana na wakuja.
Je mwaka 1961 au mwaka 1970? Watu wengi watafeli hapo......
bwana mdogo kumbe umesoma juzi enzi ya martin mkisi,haya nw yupo meja kessy!Tukiwa kidato cha Pili shule ya Jitegemee tuliomba turuhusiwe kuvaa SURUALE badala ya kaptura...Mkuu wa shule wakati huo akiwa Major Mkisi alitujibu siku yule Askari (Sanamu la bismini)akivaa suruale ataturuhusu na sisi tuvae.Kwetu hilo sanamu ni kumbukumbu tosha....Diamond hapana.
Mkuu upo Dar? Kama upo Dar pita hilo eneo mchana wa kesho piga picha kisha ilete hapa hiyo view ya kutokea mnara wa saa kulia mwa picha hayo majengo ni tofauti na picha ya kale.Hiyo View ya left side ukiipata muonekano ndio unakuwa kama huo kwenye picha ya kale
Wewe cyo bure, bila shaka kuna mtu amekutumaJiji libaharibiwa na vijana wa UKAWA
Vijana wachafu kupindukia
piga picha na st.joseph cathedral uje ulezee hapa
Je mwaka 1961 au mwaka 1970? Watu wengi watafeli hapo......
jengo hilo linabomolewa hivi sasa tunavyookomenti humu, buriani kwakeHapa 1960's na VW na Morris zinazuguuka sanamu ya Bismini & Haji brother ilikuwa maarufu kwa kuuza saa za mkononi siku hizi hilo duka kuna Benki ya Posta.
wapi hiyoUkweli mji umeharibiwa na siyo kuchafuliwa tuu hebu angalia maeneo ya kichwele hayo [emoji116]
View attachment 349738
wewe ulifanya nini ili isichafuliwe??
kazi kupaka hina na kukaa vibarazani na kupiga umbea!
Hapo Hsjji Brothers kwa sasa panavunjwa kunapangwa kujengwa ghorofa moja matata sana litakaloitwa Gumzo la Jiji. Subira yavuta kheri.Hapa 1960's na VW na Morris zinazuguuka sanamu ya Bismini & Haji brother ilikuwa maarufu kwa kuuza saa za mkononi siku hizi hilo duka kuna Benki ya Posta.
wala hatujapitwa lolote ni kawaida yaa wenye umri mrefu kusifia zama zaoVery interesting, wa dotcom tumepitwa na mengi
ndio tunaambiwaga zamani dili lilikuwa kwenda ulaya na wazee wetu, kumbe kweliMkuu Zamiluni Zamiluni jamaa zetu hao niliyowataja Eddie yupo hai ila anaishi USA,Bobeya,Mussa Simba,Feruzi,Machismo wapo hai na wote naonana nao kasoro Eddie ila taarifa zake nazipata kupitia kwa swahib yake mkubwa Owite ambaye nae yupo UK.
Wazee wetu Mzee Lumelezi,Mzee Mangara Tabu na kesi Mjinga pamoja na Leny Simba wametangulia mbele ya haki.
watu wa Dar wanapo umbuana wa mikoani, hatuna la kufanya tunachuntunachuna tu.Achana nae haijuwi Dar huyo, anajidai tu humu.
Historiya ndefu na taamu kupita makadirio ya fahamu zetu !! baadhi ya shule Breakfast na mid Lunch shuleni !!
Hospitali lipo file la familiya kuanzia mtoto wa mwanzo hadi wa tisa au kumi (kizazi bora na imara)!!
Elimu A~z english !! College na Universitez unapelekwa ulaya/US/CAD na majuu...(FOC)
Michezo ya viwango vyote na Ubingwa Tanganyika ilikuwa ikiongoza sub)sahara...
Politics tumeshika hadi baraza la Usalama na kugombea ukatibu mkuu UN!!
gari unamiliki kwa kuanzia Ts.500/-
Pikipiki scooter/vespa Ts 150/-
bysiceli Raleigh ts 30-45/- !!
Viwanja vya ndege, reli, madaraja za kimataifa na kudumu kusastain EarthQuake na disastours
WEE chezea British Coloni (wakoloni Mungu awabarikie na wadumu kuilinda Dunia hii forever)
Mkuu STORYz ni ndefu sana .....
MziziMkavu hebu mwaga picha bhana....
aisee kuna taa naiona kunbe imekula chumvi nyingiMkuu nimekuelewa ulichosema ila kuuliza si ujinga kaulize kwa wanaoijua Dar watakwambia kichwele ni wapi.
Kuhusu picha ya Nkurumah na uhuru hebu angalia hizi picha nimezipiga leo na simu yangu ya kitochi kisha utaelewa nilichokielezea toka day one kuhusu ile picha
![]()
picha ya tarehe 27/02/2017 mtaa wa Uhuru[emoji115]
![]()
picha ya zamani[emoji115]
![]()
picha ya 2017 Chox[emoji115]
hasaaMkuu upo Dar? Kama upo Dar pita hilo eneo mchana wa kesho piga picha kisha ilete hapa hiyo view ya kutokea mnara wa saa kulia mwa picha hayo majengo ni tofauti na picha ya kale.
Hebu tizama hii picha nyingine ya jana
![]()
![]()
![]()
Angalia mpaka nguzo za umeme bado ni zilezile za kale [emoji15] [emoji15]
Wakuu Mtebetini,FaizaFoxy,Mzizi mkavu na wakongwe wengine, kati ya mwaka 1967 hadi 1968 nikiwa na babayangu mkubwa tulipita sehemu fulani tukaona samaki (perege) wapo chini yaani kuna bwawa chini ya ardhi , ila mdomo wa hilo bwawa ni kadri ya kipimo cha mita moja kwa mita moja. Hilo bwawa ni la simenti yaani zege kwa juu, tafadhalini nikumbusheni ni wapi palikuwa? Ni mnazi mmoja au wapi?