124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
Wewe hutojibiwa maana hakika mzizima huifahamu na wala hujui nini maana ya maeneo ya pwani au watu wa pwaniKwani kutoka Mkuranga au Bagamoyo sio wa Kuja? Acha hizo wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hutojibiwa maana hakika mzizima huifahamu na wala hujui nini maana ya maeneo ya pwani au watu wa pwaniKwani kutoka Mkuranga au Bagamoyo sio wa Kuja? Acha hizo wewe
Sitojibiwa na nani sasa? Una uhakika gani mimi siijuhi Mzizima?Wewe hutojibiwa maana hakika mzizima huifahamu na wala hujui nini maana ya maeneo ya pwani au watu wa pwani
Bro mgogoone anazungumzia mtaa wa kipata na Sikukuu kwa kina shamimu?
Wanaoijua mzizimahawawezi kuandika "siijuhi"wakikusudia siijui ,wanaoijua mzizima hawawezi kumnasibisha mkazi yeyote wa pwani kuwa wakuja!Sitojibiwa na nani sasa? Una uhakika gani mimi siijuhi Mzizima?
Sawa wakuja, mkishafika Mjini kuuza kahawa na kukaa vijiweni basi moja kwa moja unajiona wa Mzizima,Wanaoijua mzizimz hawawezi kuandika "siijuhi"wakikusudia siijui ,wanaoijua mzizima hawawezi kumnasibisha mkazi yeyote wa pwani kuwa wakuja!
Hitimisho-huijui mzizima period!
Mkuu sio mimi tu hadi babu yangu ni wa mzizima na ndio watu waliomshika mkono J.Nyerere na kumtembeza mjini na hata alipikufa marais wote wa nchi hii walihudhuria msiba wake mwenyekiti- wa wazee mkoa wa dar unanisoma? Sasa tafuta wenyeviti wote marhum mmoja babu yangu na kwa taarifa tu katika hotuba za jk nyerere pale anaposema alipelekwa zanzibar bagamoyo babu yangu alikuwepo katika msafara na watu wa mwanzo kuacha utumishi wa mkoloni ili kudai uhuru babu yangu alikuwepo !Sawa wakuja, mkishafika Mjini kuuza kahawa na kukaa vijiweni basi moja kwa moja unajiona wa Mzizima,
Mkuu sio mimi tu hadi babu yangu ni wa mzizima na ndio watu waliomshika mkono J.Nyerere na kumtembeza mjini na hata alipikufa marais wote wa nchi hii walihudhuria msiba wake mwenyekiti- wa wazee mkoa wa dar unanisoma? Sasa tafuta wenyeviti wote marhum mmoja babu yangu na kwa taarifa tu katika hotuba za jk nyerere pale anaposema alipelekwa zanzibar bagamoyo babu yangu alikuwepo katika msafara na watu wa mwanzo kuacha utumishi wa mkoloni ili kudai uhuru babu yangu alikuwepo !
Sina cha kukupinga hapo na ukweli utabaki kuwa hao uliwataja ni wakuja walioshirikiana na wajanja wao ila vizazi vyao vilivofuata si wakuja ! Hoja ya hapa ni hawa wakuja sasa ambao hawaijui hata kwa kuhadithiwa hii darul salaam!Hata mimi Babu yangu alishiriki sana harakati za uhuru hapa Dar es salaaam, japo hakuwa Mzaramo, Mndengereko au Mmanyema
Kuna kitu huwa mnakosea sana, Mtu kama Kunambi, Rupia, Pombeah, Cecil Matola, Kyaruzi ect hawakuwa wazawa wa Dar, lakini huwezi kusema ni wa kuja huku ukifanya watu kama Fundikira (Tabora) Sykes family (Zululand) na wengine wanaofanana na hao kuwa sio wakuja,
Mkuu exitDaaa enzi hizo natoka kwetu Mahiwa st napiga misele kitaa hiyo na magari ya mbao ahhaha. Tumetoka mbali.
Kumbe Mkisi alikuwa mkuu wa shule, mimi alikuwa alikuwa afande wangu JKTTukiwa kidato cha Pili shule ya Jitegemee tuliomba turuhusiwe kuvaa SURUALE badala ya kaptura...Mkuu wa shule wakati huo akiwa Major Mkisi alitujibu siku yule Askari (Sanamu la bismini)akivaa suruale ataturuhusu na sisi tuvae.Kwetu hilo sanamu ni kumbukumbu tosha....Diamond hapana.
124Dah !snow cream topaz hotel /restaurant hatare !mom and dad walitu spoil sana outing ,halafu kulikuwa na ki restaurant wanapika burian na variety nyingine cha wahindi matata sana maeneo ya avalon sijui ndio shesh mahal tushaenda sana as afamily enzi hizo mdingi una to spoil wikiends! Dinner or lunch out!
Mkuu MgogooneNdio hapo mkuu
Tumieni lugha za kiungwana mnapoleta nyuzi zenu humu JF, zinasomwa pia na baba zenu!Faza anasona la 3
Tawile tawile tawile...Wanaoijua mzizimahawawezi kuandika "siijuhi"wakikusudia siijui ,wanaoijua mzizima hawawezi kumnasibisha mkazi yeyote wa pwani kuwa wakuja!
Hitimisho-huijui mzizima period!
Snow cream ndiyo hii iliyopo karibia na ofisi za Chanel 10 ?Dah !snow cream topaz hotel /restaurant hatare !mom and dad walitu spoil sana outing ,halafu kulikuwa na ki restaurant wanapika burian na variety nyingine cha wahindi matata sana maeneo ya avalon sijui ndio shesh mahal tushaenda sana as afamily enzi hizo mdingi una to spoil wikiends! Dinner or lunch out!
Snow cream tunayoitajataja hapa ni opposite ilipokuwa cathedral bookshop sasa hivi Mkombozi Bank,adjacent na Tahfif Bookshop.Snow cream ndiyo hii iliyopo karibia na ofisi za Chanel 10 ?