Kwa wale wenye uzito wa kilo 90 kwenda juu tukutane hapa

mabonge hawaolewi?
Tunaolewa sanaa niko kwenye ndoa na ubonge wangu na niliolewa nikiwa hivi nilivyo


Bonge popote ulipo jiamini usikatishwe tamaa na mtu kwa kuwa tunatofautiana katika kupenda wapo wanaopenda kitu bonge na wengine vipotabo usijinyime rahaa hata siku moja raha jipe mwenyewe jiaminiii
 
Mimi ni mrefu futi 6.5 na sina kitambi ila nina kilo 110(mwanaume)
 
Wakuu,sipati picha mabonge mkilala mnavokoroma(kama umeenda ugeni asubuhi ukiamka wanakuangalia Kwa kukuchora)NAWAZA TUU KWA SAUTI WAUU
 
tatizo whatsup group kusumbuana inbox tena
Lazima kwanza tuweke vigezo na masharti atakaye leta mambo hayo akiriportiwa anatolewa simple,nshaanzisha japo turnup sio nzuri.nasubiria namba yako,group linaitwa jamii fitness
 
Lazima kwanza tuweke vigezo na masharti atakaye leta mambo hayo akiriportiwa anatolewa simple,nshaanzisha japo turnup sio nzuri.nasubiria namba yako,group linaitwa jamii fitness
na mimi naomba mniunge hilo group
 
Duuh, kwa uzito huo kama hujaolewa, sahau kuolewa aisee..

Mbona mabonge wengi wameolewa? Mimi naona wengi wenye vi-english figure ndio wengi ambao hata boy friend hawana.Wanaume wengi wa kiswahili akipita kimbau mbau english figure wala huwa hawahangaiki naye .Likipita tipwa tipwa kilo 100 unawakuta wanataka kuzimia kwa mahaba.

Wanaume pia muwaulize mnataka wanene au wemmbamba kabla hamjaanza kujikondesha kwa kula na kulalia kipande cha nusu ndimu ili mkondeane na kubaki mifupa mitupu pale Afrika ya kati.Mtu akisogea anakutana na mifupa mitupu hamna nyama.
 
Wakuu,sipati picha mabonge mkilala mnavokoroma(kama umeenda ugeni asubuhi ukiamka wanakuangalia Kwa kukuchora)NAWAZA TUU KWA SAUTI WAUU
Wembamba wanakoroma pia wals unene sio sababu mi mwenyewe sikoromi
 
labda hao mabonge wako nijuavyo mimi wanene wana k safi sana maana hatuna shimo kubwa


Hakuna Mwanamke asiye na Uke mkubwa labda tu haujajigundua, lkn Wanawake wote wameumbwa kibaolojia kuwa na Uke mkubwa ambao unaweza kumeza Uume wa aina yoyote ile na ndiyo maana mtoto anapita hapo, labda sasa uniambie kwamba una Mke mdogo kiasi kwamba Mtoto hawezi kupita hapo ni sawa na utakuwa sio wa kawaida!

Ukiona Mwanaume anapenda Mwanamke mnene ujue hajui kusex vizuri na Mwanamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…