chief1
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,418
- 1,449
Kwani siku izi bado watu wanatongozaga mpaka kufikia kusumbuana? !!mbona wamejaa?
Siku izi ni kuita tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani siku izi bado watu wanatongozaga mpaka kufikia kusumbuana? !!mbona wamejaa?
[emoji23][emoji23]mabonge hawaolewi?
Tunaolewa sanaa niko kwenye ndoa na ubonge wangu na niliolewa nikiwa hivi nilivyomabonge hawaolewi?
Lazima kwanza tuweke vigezo na masharti atakaye leta mambo hayo akiriportiwa anatolewa simple,nshaanzisha japo turnup sio nzuri.nasubiria namba yako,group linaitwa jamii fitnesstatizo whatsup group kusumbuana inbox tena
umeona eeeh full mnatolabda hao mabonge wako nijuavyo mimi wanene wana k safi sana maana hatuna shimo kubwa
na mimi naomba mniunge hilo groupLazima kwanza tuweke vigezo na masharti atakaye leta mambo hayo akiriportiwa anatolewa simple,nshaanzisha japo turnup sio nzuri.nasubiria namba yako,group linaitwa jamii fitness
😀😀labda hao mabonge wako nijuavyo mimi wanene wana k safi sana maana hatuna shimo kubwa
sio namba mkuu ni hapa hapa sema uzito wako
Duuh, kwa uzito huo kama hujaolewa, sahau kuolewa aisee..
Wembamba wanakoroma pia wals unene sio sababu mi mwenyewe sikoromiWakuu,sipati picha mabonge mkilala mnavokoroma(kama umeenda ugeni asubuhi ukiamka wanakuangalia Kwa kukuchora)NAWAZA TUU KWA SAUTI WAUU
unhealthy weight gain....Kama unataka kunenepa kunywa sana bia...
labda hao mabonge wako nijuavyo mimi wanene wana k safi sana maana hatuna shimo kubwa
Nitumie namaba yakona mimi naomba mniunge hilo group