Kwa wale wote wafanyabiashara ya mazao njooni Mpanda kapanga (Mwese)

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Wakuu Sina muda wa kuandika thread ndefu sana.

Lakini kwa ufupi sana kama wewe ni mfanya biashara wa mazao especially mahindi na mpunga njoo Mpanda -kapanga kama unaenda mwese.

Mahindi yanauzwa kwa bei ya 45-50k gunia. Ukikusanya mwenyewe kwa watu ni 30k kwa gunia maeneo ambayo utaweza kuyapata kwa wingi ni
Kasunga
Kasilipu
Manyoni
Kapanga
Katende (hapa mchele ni 1300 kg1)
Na vijiji vyote.

Kama uko seriously Fanya hivyo mahindi yapo kwa wingi mno mno.

Hapo kapanga ndo senta kubwa Kuna semi 🚛 na fuso nyingi mno mno zinasomba mazao usiku na mchana.

NB: WAKUU SITATOA NO MTONYO NILIO WATONYA UNATOSHA SANA.

Picha zina load sana nimefuta mtandao upo wa shida mno huku.(Vodacom)
 
Kila biashara ni nzuri, inalipa !
Ni jinsi unavyoifanya kuanzia connection, mtaji, location, soko n.k !!!!!

Kamwe usikurupuke kufanya kitu bila utafiti wa kutosha kuanzia masoko, upatikanaji wa bidhaa n.k

Kupoteza mtaji ni dkk sifuri kama haupo makini unadandia ovyo tu kila fursa unayoisikia
 
Umenikumbusha mbali sana bro
 
Unaitamani halafu kutwa unashinda ofisi za chama Lumumba kusubiria buku 7 ya kuwasifia makada wako wakuu wa chama humu jukwaani! Toka hapo Lumumba uje huku mtaani upambane.
Ndani ya chama bado kuna issue za buku 7? (Mbio za chadema ni mbio za ugali tu)Mungu atupe uhai siku moja tuje kuwashuhudia wakiongoza nchi/
#UTATOKA BAFUNI MBIO UWAKIMBIZE,HAKIKA!,KWA WIZI NA ULAFI WATAKAOUFANYA,KUJILIMBIKIZIA MALI KWA KUFRU KUBWA,AMIN AMIN.
 
Wakuu Sina muda wa kuandika thread ndefu sana.

Lakini kwa ufupi sana kama wewe ni mfanya biashara wa mazao especially mahindi na mpunga njoo Mpanda -kapanga kama unaenda mwese.

Mahindi yanauzwa kwa bei ya 45-50k gunia. Ukikusanya mwenyewe kwa watu ni 30k kwa gunia maeneo ambayo utaweza kuyapata kwa wingi ni
Kasunga
Kasilipu
Manyoni
Kapanga
Katende (hapa mchele ni 1300 kg1)
Na vijiji vyote.

Kama uko seriously Fanya hivyo mahindi yapo kwa wingi mno mno.

Hapo kapanga ndo senta kubwa Kuna semi 🚛 na fuso nyingi mno mno zinasomba mazao usiku na mchana.

NB: WAKUU SITATOA NO MTONYO NILIO WATONYA UNATOSHA SANA.

Picha zina load sana nimefuta mtandao upo wa shida mno huku.(Vodacom)
Kwanini unasema Kapanga Mwese? Kapanga ni Kapanga na Mwese ni Mwese. Mwaka huu wanasema mahindi huko ni kama uchafu, yaani ni mengi mpaka hawajui watafanyaje! Nilishawahi kupiga kambi hapo Manyonyi! Maharage yenyewe yako na bei gani?
 
Nilisema barabara ya kwenda mwese hata hapo lami (njia panda Kuna ubao usemao mwese)
Maharage Yana 25,000/= dumu au debe1
 
Kila biashara ni nzuri, inalipa !
Ni jinsi unavyoifanya kuanzia connection, mtaji, location, soko n.k !!!!!

Kamwe usikurupuke kufanya kitu bila utafiti wa kutosha kuanzia masoko, upatikanaji wa bidhaa n.k

Kupoteza mtaji ni dkk sifuri kama haupo makini unadandia ovyo tu kila fursa unayoisikia
Sawa mkuu but lengo lako ni lipi ama point yako ni ipi hapa kwa wana?
 
Kila biashara ni nzuri, inalipa !
Ni jinsi unavyoifanya kuanzia connection, mtaji, location, soko n.k !!!!!

Kamwe usikurupuke kufanya kitu bila utafiti wa kutosha kuanzia masoko, upatikanaji wa bidhaa n.k

Kupoteza mtaji ni dkk sifuri kama haupo makini unadandia ovyo tu kila fursa unayoisikia
Una akili sana biashara nzuri kusimuliwa Mimi nilingia kwenye ukandarasi najuta sana
 
Back
Top Bottom