Kwa wale wote wafanyabiashara ya mazao njooni Mpanda kapanga (Mwese)

Kila biashara ni nzuri, inalipa !
Ni jinsi unavyoifanya kuanzia connection, mtaji, location, soko n.k !!!!!

Kamwe usikurupuke kufanya kitu bila utafiti wa kutosha kuanzia masoko, upatikanaji wa bidhaa n.k

Kupoteza mtaji ni dkk sifuri kama haupo makini unadandia ovyo tu kila fursa unayoisikia
Wewe una biashara ngapi unazozifanya?
 
Hizi bei za nafaka zitaendelea kushuka mpaka August.
Kuna maeneo gunia la mahindi linauzwa Tsh 35000 na kilo ya mchele super itashuka hadi Tsh 1000 make wakulima bado wanavuna.

Wenye mitaji mikubwa changamkieni mwaka huu ni mwendo wa kupiga mbesa!
 
Wapi huko kwa hiyo bei.
 
Back
Top Bottom