Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Unaitamani halafu kutwa unashinda ofisi za chama Lumumba kusubiria buku 7 ya kuwasifia makada wako wakuu wa chama humu jukwaani! Toka hapo Lumumba uje huku mtaani upambane.Biashara naitamani hii?,
Kufaidisha panya?Hiiz nzuri kuweka stoo
Ulitaka utoe shambani na kuweka sokoni hapo hapo faida kiduchu wengi huweka stoo soko likipanda nao wapata faidaKufaidisha panya?
Umenikumbusha mbali sana broWakuu Sina muda wa kuandika thread ndefu sana.
Lakini kwa ufupi sana kama wewe ni mfanya biashara wa mazao especially mahindi na mpunga njoo Mpanda -kapanga kama unaenda mwese.
Mahindi yanauzwa kwa bei ya 45-50k gunia. Ukikusanya mwenyewe kwa watu ni 30k kwa gunia maeneo ambayo utaweza kuyapata kwa wingi ni
Kasunga
Kasilipu
Manyoni
Kapanga
Katende (hapa mchele ni 1300 kg1)
Na vijiji vyote.
Kama uko seriously Fanya hivyo mahindi yapo kwa wingi mno mno.
Hapo kapanga ndo senta kubwa Kuna semi 🚛 na fuso nyingi mno mno zinasomba mazao usiku na mchana.
NB: WAKUU SITATOA NO MTONYO NILIO WATONYA UNATOSHA SANA.
Picha zina load sana nimefuta mtandao upo wa shida mno huku.(Vodacom)
Ndani ya chama bado kuna issue za buku 7? (Mbio za chadema ni mbio za ugali tu)Mungu atupe uhai siku moja tuje kuwashuhudia wakiongoza nchi/Unaitamani halafu kutwa unashinda ofisi za chama Lumumba kusubiria buku 7 ya kuwasifia makada wako wakuu wa chama humu jukwaani! Toka hapo Lumumba uje huku mtaani upambane.
Kwanini unasema Kapanga Mwese? Kapanga ni Kapanga na Mwese ni Mwese. Mwaka huu wanasema mahindi huko ni kama uchafu, yaani ni mengi mpaka hawajui watafanyaje! Nilishawahi kupiga kambi hapo Manyonyi! Maharage yenyewe yako na bei gani?Wakuu Sina muda wa kuandika thread ndefu sana.
Lakini kwa ufupi sana kama wewe ni mfanya biashara wa mazao especially mahindi na mpunga njoo Mpanda -kapanga kama unaenda mwese.
Mahindi yanauzwa kwa bei ya 45-50k gunia. Ukikusanya mwenyewe kwa watu ni 30k kwa gunia maeneo ambayo utaweza kuyapata kwa wingi ni
Kasunga
Kasilipu
Manyoni
Kapanga
Katende (hapa mchele ni 1300 kg1)
Na vijiji vyote.
Kama uko seriously Fanya hivyo mahindi yapo kwa wingi mno mno.
Hapo kapanga ndo senta kubwa Kuna semi 🚛 na fuso nyingi mno mno zinasomba mazao usiku na mchana.
NB: WAKUU SITATOA NO MTONYO NILIO WATONYA UNATOSHA SANA.
Picha zina load sana nimefuta mtandao upo wa shida mno huku.(Vodacom)
Nilisema barabara ya kwenda mwese hata hapo lami (njia panda Kuna ubao usemao mwese)Kwanini unasema Kapanga Mwese? Kapanga ni Kapanga na Mwese ni Mwese. Mwaka huu wanasema mahindi huko ni kama uchafu, yaani ni mengi mpaka hawajui watafanyaje! Nilishawahi kupiga kambi hapo Manyonyi! Maharage yenyewe yako na bei gani?
Nenda kasende sh 1300 kgNingepata mpunga ingependeza zaidi
Sawa mkuu but lengo lako ni lipi ama point yako ni ipi hapa kwa wana?Kila biashara ni nzuri, inalipa !
Ni jinsi unavyoifanya kuanzia connection, mtaji, location, soko n.k !!!!!
Kamwe usikurupuke kufanya kitu bila utafiti wa kutosha kuanzia masoko, upatikanaji wa bidhaa n.k
Kupoteza mtaji ni dkk sifuri kama haupo makini unadandia ovyo tu kila fursa unayoisikia
Maharage sh25,000/= kwa sasaNina shahuku sanaa ya kuanzisha biashara ya nafaka..haswa maharagwe...unakuwa na uhakika na mzigo wako due hauribik kirahisi + soko muda wote linaweza kubadilika kulingana na uhitaji ...
Una akili sana biashara nzuri kusimuliwa Mimi nilingia kwenye ukandarasi najuta sanaKila biashara ni nzuri, inalipa !