Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ubarikiwe Sana, na Mungu akubariki, vijana wa JF tupewe ni zaidi?Wakuu Sina muda wa kuandika thread ndefu sana.
Lakini kwa ufupi sana kama wewe ni mfanya biashara wa mazao especially mahindi na mpunga njoo Mpanda -kapanga kama unaenda mwese.
Mahindi yanauzwa kwa bei ya 45-50k gunia. Ukikusanya mwenyewe kwa watu ni 30k kwa gunia maeneo ambayo utaweza kuyapata kwa wingi ni
Kasunga
Kasilipu
Manyoni
Kapanga
Katende (hapa mchele ni 1300 kg1)
Na vijiji vyote.
Kama uko seriously Fanya hivyo mahindi yapo kwa wingi mno mno.
Hapo kapanga ndo senta kubwa Kuna semi 🚛 na fuso nyingi mno mno zinasomba mazao usiku na mchana.
NB: WAKUU SITATOA NO MTONYO NILIO WATONYA UNATOSHA SANA.
Picha zina load sana nimefuta mtandao upo wa shida mno huku.(Vodacom)
Usisahu wese limepanda pia, usafirishaji ni gharama kubwaHizi bei za nafaka zitaendelea kushuka mpaka August.
Kuna maeneo gunia la mahindi linauzwa Tsh 35000 na kilo ya mchele super itashuka hadi Tsh 1000 make wakulima bado wanavuna.
Wenye mitaji mikubwa changamkieni mwaka huu ni mwendo wa kupiga mbesa!
Saio kwamba wakandarasi wanapiga hela Sana? Tunasikia bei ya kazi ni mara mbili ya Ile ya sokoniUna akili sana biashara nzuri kusimuliwa Mimi nilingia kwenye ukandarasi najuta sana
Ndo maana nawashauri wasikurupuke kwenda kuchukulia mzigo mikoa ya mbali.Usisahu wese limepanda pia, usafirishaji ni gharama kubwa
Moro Mchele haujawahi kiwanja bei nafuu huu mkoa Una shidaNdo maana nawashauri wasikurupuke kwenda kuchukulia mzigo mikoa ya mbali.
Nafaka kama mchele na mahindi hata mkoa wa Morogoro utapata kwa wingi tu na bei ni sawa na ya huko mpanda. So why uhangaike kwenda mbali?
Mchele nenda Turiani Morogoro.Wapi huko kwa hiyo bei.
Shukruni.Mchele nenda Turiani Morogoro.
Mahindi nenda Kiteto Manyara.
Usikurupuke kwenda mbali utakumbana na gharama kubwa ya usafirishaji.
Sio kwa mwaka huu mkuu. Mpanga ni mwingi sana.Moro Mchele haujawahi kiwanja bei nafuu huu mkoa Una shida
Pamoja mkuu. Na maharage nilisahau kuongezwa hapo debe Lina 25k tuUbarikiwe Sana, na Mungu akubariki, vijana wa JF tupewe ni zaidi?
Natarajia kupata pesa mwezi July Kati Kati sijui kama Msimu utanisuboriPamoja mkuu. Na maharage nilisahau kuongezwa hapo debe Lina 25k tu
Yeah mahindi na maharage Bado wanavuna mkuu.Natarajia kupata pesa mwezi July Kati Kati sijui kama Msimu utanisubori
Natarajia kupata pesa mwezi July Kati Kati sijui kama Msimu utanisuburjPamoja mkuu. Na maharage nilisahau kuongezwa hapo debe Lina 25k tu
Huu mwaka Mvua ilinyesha vizuri Nchi nzimaSio kwa mwaka huu mkuu. Mpanga ni mwingi sana.
Nimetoka juzi Turiani. Mchele mashineni ni sh 1500 super na bado wakulima wanavuna. Shamba ngunia la debe 8.5 sh 60k super. So why uende Mpanda au Malinyi huko mbali na mbali.
Mahindi huko kilindi na kiteto yatakosa wanunuzi coz ni mengi na ndo kwanza wanaanza kuvuna.
Hapana kanda ya ziwa ulichelewa watu hawakulima mpunga mkuu wamelima mwishoniNatarajia kupata pesa mwezi July Kati Kati sijui kama Msimu utanisuburj
Huu mwaka Mvua ilinyesha vizuri Nchi nzima
Inaweza ikawa shiling ngapi kwa sasa kusafirisha magunia 30 kutoka mbeya kwenda DarUsisahu wese limepanda pia, usafirishaji ni gharama kubwa