Kwa walimu wote.

Kwa walimu wote.

Hiyo mbona imeanza kutumika kitambo sana,ila ni muhimu kukumbushana
 
hapo ndo penyewe wao wanataka wapate cfa nzuri za ufaulu kupitia walim acha wachakachue matokeo
 
Nakumbuka kauli alioitoa Edward Lowasa mwaka 1994 nikuwa chuo cha ualimu Monduli akimtetea mkuu wa chuo wakati huo (Def) Kuwa "if you are looking for the green pasture then you are in wrong way".Sakata lenyewe lilikuwa linahusiana na kula ugali mfululizo wakati fedha za kununulia mchele zikiwa zimefisadiwa.
Sasa hilo linadhihirika waalimu wakiwa wanataabika na familia zao,wanadharaulika na jamii ambayo wanatarajia watoto wao watafundishwa na walimu hao hao.
Na wasihi walimu wajiendeleze na fani zingine bila kusahau ujasiria mali ambao utawatoa kimaisha na waache kukopakopa ovyo kwenye vyombo vya fedha vya mafisadi kule unapokopa 1million na unalipa 4million.Na kule tunapoacha kadi za benki rehani.
Tuwasaidie watoto wa wakulima maana hao wanao tufanyia ufisadi watoto wao wanasoma shule za bei mbaya na pengine nje ya nchi,hivyo wanaweza wasiathirike na "FUKAMA" ikawa ni sawa na unajipiga na bastola kwenye mguu wako mwenyewe.
Tushirikiane kudai haki zetu kila moja kwa nafasi yake,wilayani ofisi za elimu ndo usiseme Mafisadi wa kutupwa,miungu watu,wana wahujumu walimu wenzao.
 
Ila kwa kweli mtu akiniita mwalimu aisee hata mie naona kanitusi kabisa aisee...maana hii professional kila mtu anaidharau sijui kwa nini.........
 
Ukitaka kujua hicho kitu kimekuwepo toka zamani rejea ufaulu wa drs la saba mwaka huu, japo waziri mhusika anajisifia kiwango cha ufaulu kimeongezeka, lakini waliochaguliwa ni pamoja na wasiojua kusoma hata kuandika . Watoro wa mda mrefu walihudhuria wiki la mwisho la mtihani nao wamechaguliwa. Hichi ni kiama cha elimu TZ.
 
Kutokana na Serikali kuwadharau Walimu, Kila mwalimu ajiunge na sera inayoitwa FUKAMA yani FUNDISHA KULINGANA NA MALIPO, mda unaobaki kafanye shughuli zako.

wakati unaanza kazi ya ualimu ulidanganywa kuwa kuna maslahi manono kwenye ualimu?
acha kusambaza sumu iangamizayo taifa kikiwamo kizazi chako maana kwa kufanya hivyo hata wewe ama uzao wako ama ukoo wako utaathirika. nilipata kushauri hapa mwanzo ukiona ualimu haulipi katafute kazi inayolipa na/au ukiona ualimu haulipi pigana kiume kuhakikisha maslahi yanaboreshwa na wakati ukiwa unafanya hivyo timiza wajibu wako kazini kwa kuwawezesha watoto kitaaluma ili nao waje kuwa na mawanda mapana ya kuchagua fani waitakayo iwe ya kuajiriwa au kujiajiri na hapo utakuwa u MWALIMU KWELI vinginevyo nenda kunakolipa zaidi maana madhara ya ushauri wako ni makubwa kuliko faida zake!tafakari nami!
 
Ila kwa kweli mtu akiniita mwalimu aisee hata mie naona kanitusi kabisa aisee...maana hii professional kila mtu anaidharau sijui kwa nini.........

walimu wa kulazimishwa kutokana na shida zao lazima wakwepe kuitwa walimu lakini ukweli ni kuwa mtu wa kwanza anaeidharau fani hii ni mwalimu mwenyewe hebu ona wale mawaziri ambao ni walimu kwa asili badala ya kusaidia kuboresha ualimu ndio wameenda kuharibu kabisa pale wizarani!amua sasa kuwa mwalimu kamili utaona kama utadharaulika!
 
Mimi huwa naamini ukijitahidi kuwa mwalimu wa kweli ndio unavyojizidisha dharau...
 
Mimi huwa naamini ukijitahidi kuwa mwalimu wa kweli ndio unavyojizidisha dharau...

sidhani kama utendaji bora hudhoofisha sifa kazini labda kama tunatofautiana kwenye matumizi ya neno dharau!
 
sidhani kama utendaji bora hudhoofisha sifa kazini labda kama tunatofautiana kwenye matumizi ya neno dharau!

dharau tunayoiongelea hapa ni ya kipato na umasikini wa waalimu...jamii na serikali yako imewafanya kuwa watu masikini sana na kipato kidogo....
 
dharau tunayoiongelea hapa ni ya kipato na umasikini wa waalimu...jamii na serikali yako imewafanya kuwa watu masikini sana na kipato kidogo....
ni kweli serikali imeendelea kuwafukarisha walimu na wa tanzania kwa ujumla wake na hili linajenga dharau pana si kwa walimu tu bali Taifa kwa ujumla wake!
Na taifa likidharaulika mwl ana nafasi kubwa ya kulitoa taifa hapo na kwa hilo walimu wanatakiwa kukazana nalo kupitia elimu waitoayo ili wazalishe wakombozi wa kweli na kwa kufanya hivyo dharau hiyo itatokomezwa!
 
Nimekuta mwalimu amekopa NMB, Bayport, Faidika, Blue financial na Pletinum Credit. Take home yake ni 00. Salary slip yake nimechukua nikiweza nitaiscan niiweke hapa ila jina nitalifuta. Kweli ualimu ni bonge la chaka.
 
watakazana wakati wana njaa??? matokeo ya kukazana kwao yataonekana baada ya muda gani?? Kwa nini sekta nyingine wakikohoa kidogo tu wanasikilizwa na sio waalimu????
 
Nimekuta mwalimu amekopa NMB, Bayport, Faidika, Blue financial na Pletinum Credit. Take home yake ni 00. Salary slip yake nimechukua nikiweza nitaiscan niiweke hapa ila jina nitalifuta. Kweli ualimu ni bonge la chaka.
huyo anatakiwa akauje madeni yake baclays,vinginevyo atafungwa
 
mhh... matatizo ya walimu yanasemwa kwa kejeli kam dhambi ya zinaa, serikali ya ajabu hii mipango mizuri 100% utekelezji 0%
Walimu mjipange na mpango wa FUKAMA, serikali inachezea taaluma yenu, mkigoma serikali inatamba kuwa watawaajiri wamachinga, m2 unaeelimisha uma muelekeo wa maisha ktk nyanja zote na profession yake unamcompare na machinga!!!

WEkeni silaha chini muelewe kwanz mwafaka wa maisha yenu
 
Back
Top Bottom