We huoni kama huo ni uhuni, na ukizungumzia hao wenye kipato cha ku support manunuzi ya 50,000 je wako wangapi compared na hawa wa 10k-1k bundles?
Mkuu upo tegta kwa ndevu amaeneo gani..? Nikuunge na Wifi yanguNdio maana wameyataja maeneo kabisa ambayo hio huduma inapatikana, Sie wa Tegeta kwa Ndevu hatuhusiki!
Ukipata muda soma kitu kinaitwa FTTx, hiyo x inasimama kama home, office n.k...Dunia inaondoka kwenye mifumo ya analog kwenda wireless! Wewe unakuja na idea ya kuunganisha miwaya kama TTCL!
FRENCH REVOLUTION 1789... ilizidi kupandisha hasira za raia wakaona hawa watawala wamelewa madaraka ndo sekeseke likaanza la kupindua utawala wa kifalme.Umesema elfu70?!! Umenikumbusha kuna watu walikuwa wanaandamana bei ya mkate kupanda. Mwanamfalme kusikia hivyo akasema kama mkate umepanda si wale keki!
Sigara na pombe zina inelastic demand yani hata ukipandisha bei wateja wanaweza wasipungue, ila kwenye internet hapa kibongo bongo pana elastic demand bei ikipanda watu wanapungua, yani wameharibu,Hii serikali inachekesha sana, yani njia nzuri ya kujipatia kodi kirahisi ni ku invest katika mambo ambayo watu wanayapenda, mfano sigara na bia ndio huwa zinaongoza kwa kodi miaka mingi tu! Hivyo vitu viwili ni kama chanzo cha burudani na hutasikia watu wakilalamikia huko sababu kodi zake zimeekwa in a manner hazileti sintofahamu!
Wangeweza kulifanyia hili kazi wangesambaza internet kwa watu na kuwauzia kama ilivyo maji au umeme hakika wangepata hela sana ila wao wamekazana kuvuruga vifurushi kwenye mitandao, yani wangeweza ku regulate soko bila kuumiza watu hata hawa wenye mitandao wasingekuwa na nguvu kama ilivyo sasa
Sigara na pombe zina inelastic demand yani hata ukipandisha bei wateja wanaweza wasipungue, ila kwenye internet hapa kibongo bongo pana elastic demand bei ikipanda watu wanapungua, yani wameharibu,
zamani huenda kulikuwa kuna watanzania milioni 3 walikuwa wananunua kifurushi cha gb 1 kwa buku huko halotel na mapato kwa kundi hili yakikuwa bilioni 3 serikali wakawa wanapata kodi yao asilimia 18 sawa na milioni 480 kwa halotel kila siku
saizi hicho buku ni mb 400, huenda watu laki 5 tu wataendelea kununu, mapato yatakua milioni 500 serikali itaambulia asilimia 18 = milioni 90 tu.
Wamebugi sana
Naomba kuuliza ... baada ya malalamiko ya vifurushi kutoka kwa watumia yule waziri alisema watakaa kikao...
Walipo kaa TCRA na hawa ISP pamoja na wizara .. so vikao vyao ndio vimekuja na suluhisho hili??
Nafikiri umuhumu, use case na bajeti zinakuwa tofauti kwa watu tofautiUkitoka nyumbani?! Ushatoa 70k then ukitoka nyumbani unafanyaje? Majirani inategemea ndugu yangu. Halafu wanaolalamika ni wale wa bundle za 3000 zimekuwa 10,000/- sasa mtu kama huyu umwambie atoe 70k?
Mkuu tumia lugha rahisi wengine sisi darasa la tatu DTTCL hatoi huduma za FTTH...
Fibre waliyonayo ni kwa ajili ya NICTBB tu
Ha ha ha umeona maeneo ambayo hio kitu ipo? Sio bahati mbaya.U
Una justify vipi watumiaji wengi mzee? Kuna mtu wa kumlipisha 70K Temeke kisa internet tu
Hawa kina nani???
naona wana bei rafiki, huu ndo muda wao kuchangamkia hii fursa hasa kwa kwenda maeneo ya mbezi ambako waty wanaweza hizi gharama ila nasikia hakuna huduma za fibre
naona wana bei rafiki, huu ndo muda wao kuchangamkia hii fursa hasa kwa kwenda maeneo ya mbezi ambako waty wanaweza hizi gharama ila nasikia hakuna huduma za fibre
naona wana bei rafiki, huu ndo muda wao kuchangamkia hii fursa hasa kwa kwenda maeneo ya mbezi ambako waty wanaweza hizi gharama ila nasikia hakuna huduma za fibre
Ipo wazi kabisa mzeeHa ha ha umeona maeneo ambayo hio kitu ipo? Sio bahati mbaya.
Msomali atasikiliza kilio chenuTulio Tabora tutajua hatujui
Ee Mungu sikia kilio chetu
Kilo ya sukari=3000/=Kumbe huko Dar 70k ni ndogo. Kweli mpo uchumi wa katikati. Yule waziri aliyesema mbadala wa bei kubwa ya sukari ni kutu