Kwa walio Dar es Salaam tu: Hili ndilo suluhisho la uhakika kukabiliana na gharama zilizopanda za internet

Kwa walio Dar es Salaam tu: Hili ndilo suluhisho la uhakika kukabiliana na gharama zilizopanda za internet

We huoni kama huo ni uhuni, na ukizungumzia hao wenye kipato cha ku support manunuzi ya 50,000 je wako wangapi compared na hawa wa 10k-1k bundles?

Lengo la serikali ni muwe wachache mnaotumia mitandao, ukumbuke baada ya redio, TV na magazeti kubanwa ni mitandao ndo imekuwa chanzo kikuu cha taarifa ambazo hazijachujwa.

Hivyo kwa kubana bei, wanaona kabisa watabaki wachache wenye kuwa informed.
 
Dunia inaondoka kwenye mifumo ya analog kwenda wireless! Wewe unakuja na idea ya kuunganisha miwaya kama TTCL!
Ukipata muda soma kitu kinaitwa FTTx, hiyo x inasimama kama home, office n.k...

Hiyo unayoita 'miwaya' ni sehemu ya miundombinu ya wireless tech...

Dunia inakoelekea ni kwamba imeondoka kwenye traditional copper infra kwenda kwenye fibre infra na hii ni upande wa transmission, lakini kwenye radio access ndio huko kuna wireless...
 
Umesema elfu70?!! Umenikumbusha kuna watu walikuwa wanaandamana bei ya mkate kupanda. Mwanamfalme kusikia hivyo akasema kama mkate umepanda si wale keki!
FRENCH REVOLUTION 1789... ilizidi kupandisha hasira za raia wakaona hawa watawala wamelewa madaraka ndo sekeseke likaanza la kupindua utawala wa kifalme.
 
Hii serikali inachekesha sana, yani njia nzuri ya kujipatia kodi kirahisi ni ku invest katika mambo ambayo watu wanayapenda, mfano sigara na bia ndio huwa zinaongoza kwa kodi miaka mingi tu! Hivyo vitu viwili ni kama chanzo cha burudani na hutasikia watu wakilalamikia huko sababu kodi zake zimeekwa in a manner hazileti sintofahamu!

Wangeweza kulifanyia hili kazi wangesambaza internet kwa watu na kuwauzia kama ilivyo maji au umeme hakika wangepata hela sana ila wao wamekazana kuvuruga vifurushi kwenye mitandao, yani wangeweza ku regulate soko bila kuumiza watu hata hawa wenye mitandao wasingekuwa na nguvu kama ilivyo sasa
Sigara na pombe zina inelastic demand yani hata ukipandisha bei wateja wanaweza wasipungue, ila kwenye internet hapa kibongo bongo pana elastic demand bei ikipanda watu wanapungua, yani wameharibu,

zamani huenda kulikuwa kuna watanzania milioni 3 walikuwa wananunua kifurushi cha gb 1 kwa buku huko halotel na mapato kwa kundi hili yakikuwa bilioni 3 serikali wakawa wanapata kodi yao asilimia 18 sawa na milioni 480 kwa halotel kila siku

saizi hicho buku ni mb 400, huenda watu laki 5 tu wataendelea kununu, mapato yatakua milioni 500 serikali itaambulia asilimia 18 = milioni 90 tu.

Wamebugi sana
 
Ni ushenzi mtupu wanafanya,watu wanatumia internet kujifunza DIY,kusoma online na mambo kibao ya msingi.

Hakika waafrica tuna asili ya nyani,masokwe kama historia inavyosema na hatuwezi kustaarabika sababu ya unyani wetu.
 
Naomba kuuliza ... baada ya malalamiko ya vifurushi kutoka kwa watumia yule waziri alisema watakaa kikao...

Walipo kaa TCRA na hawa ISP pamoja na wizara .. so vikao vyao ndio vimekuja na suluhisho hili??
 
Sigara na pombe zina inelastic demand yani hata ukipandisha bei wateja wanaweza wasipungue, ila kwenye internet hapa kibongo bongo pana elastic demand bei ikipanda watu wanapungua, yani wameharibu,

zamani huenda kulikuwa kuna watanzania milioni 3 walikuwa wananunua kifurushi cha gb 1 kwa buku huko halotel na mapato kwa kundi hili yakikuwa bilioni 3 serikali wakawa wanapata kodi yao asilimia 18 sawa na milioni 480 kwa halotel kila siku

saizi hicho buku ni mb 400, huenda watu laki 5 tu wataendelea kununu, mapato yatakua milioni 500 serikali itaambulia asilimia 18 = milioni 90 tu.

Wamebugi sana

Watu wanaokula perdiem za bure tangu lini wakawa na akili za kupiga mahesabu hayo?
 
Ukitoka nyumbani?! Ushatoa 70k then ukitoka nyumbani unafanyaje? Majirani inategemea ndugu yangu. Halafu wanaolalamika ni wale wa bundle za 3000 zimekuwa 10,000/- sasa mtu kama huyu umwambie atoe 70k?
Nafikiri umuhumu, use case na bajeti zinakuwa tofauti kwa watu tofauti

Hii set up ndiyo ipo kwa watu wengi naona huku Marekani, na watu wanajaribu kuileta Tanzania. Na si lazima kila mtu aitumie, kwa sababu bajeti za watu zinatofautiana.Malengo ya watu ni tofauti. Wengine wanataka kuangalia internet mara moja kwa siku jioni wakiwa nyumbani, wengine wanataka kila dakika wawe na internet.

Hii setup kwa maelezo ya juu nilivyoielewa

1. Ukiwa nyumbani, unatumia hiyo internet ya waya iliyounganishwa nyumbani. Hata kwenye simu hutumii bando, kwa sababu utaweza kuunganisha wireless router na kutumia Wifi. Maana yake hiyo 70,000 kwa mwezi ita save sana bando lako ukiwa nyumbani. Haponm utadownload vitu vingi sana bila kuhofia bando. Youtube, movies etc.

Sasa 70,000, kwa mujibu wa bajeti za watu tofauti, na use cases, inaweza kuwa hela nyingi sana au kidogo sana.

2. Ukiwa njiani, huko utatumia bando la kampuni ya simu.

Kama unaweza ku afford hivyo na upo nyumbani at least kuanzia jioni utapata the most cost effective internet.

Kama hiyo setup ni gharama sana, unaweza ku afford kulipia internet mara moja tu, either ya simu au hii nyumbani, of course ya simu inakupa mobility zaidi, lakini inaweza kuwa na gharama zaidi per MB.
 
IMG_8933.jpg
 
naona wana bei rafiki, huu ndo muda wao kuchangamkia hii fursa hasa kwa kwenda maeneo ya mbezi ambako waty wanaweza hizi gharama ila nasikia hakuna huduma za fibre

naona wana bei rafiki, huu ndo muda wao kuchangamkia hii fursa hasa kwa kwenda maeneo ya mbezi ambako waty wanaweza hizi gharama ila nasikia hakuna huduma za fibre

Kabisa 60,000 kwa mwezi ni 2000 kwa siku
 
Kumbe huko Dar 70k ni ndogo. Kweli mpo uchumi wa katikati. Yule waziri aliyesema mbadala wa bei kubwa ya sukari ni kutu
Kilo ya sukari=3000/=
Kilo ya asali=16000/
Acheni watu waitwe ma WAZI ri
 
Back
Top Bottom