stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Utakae mchagua hakikisha anakupenda na wewe unampenda kwa dhati,kinachofuata ni kuvumiliana pale kunapotokea mapungufu kwani hayo ndugu yangu hata Obama na Michell wake wanakwaruzana kwa hayo mapungufu ila kikubwa ni uvumilivu bila ya kusahau ku-mix na Prayers(the best of all).