kwa walio na ndoa tu......!!!!!!!

kwa walio na ndoa tu......!!!!!!!

Utakae mchagua hakikisha anakupenda na wewe unampenda kwa dhati,kinachofuata ni kuvumiliana pale kunapotokea mapungufu kwani hayo ndugu yangu hata Obama na Michell wake wanakwaruzana kwa hayo mapungufu ila kikubwa ni uvumilivu bila ya kusahau ku-mix na Prayers(the best of all).
 
Kwa nijuavyo mimi mdogo wako wa ukweli,dada yangu wa ukweli king'ast,tangu ummwage yule sharobaro wa kule mikoroshini baada ya kushindwa kulipia wese la lexaz yako,hujapata mwingine!Sasa unamshaurije huyu wakati amesema ashauriwe na wale waliozoea kujambiana usiku tena wenye uzoefu wa teni yeaz na kuendelea?
 
Last edited by a moderator:
karibu sana ila haitakuwa msikitin bali tutakuwa kanisani na badae kuhamia beach ndani ya ZanzibarSafariClub. karibu.
 
Umesema vizuri kuwa unatarajia kuingia kwenye ndoa.
Swali:- Umeshawahi kugombana na mwenzako huyo, na baadaye mkapatana kwa dhati (mkasameheana na uhusiano kuendelea)? Kama bado basi kuna mtihani hapo. Kwasababu inawezekana kabisa katika maisha yenu ya ndoa mkatofautiana, au kugombana, au kupingana katika jambo fulani. hapo kama kila mmoja hana 'uwezo' wa kusamehe na kusonga mbele basi hamna ndoa.
Muhimu:- Kila mmoja wenu anatakiwa kuwa tayari 'kushuka', au kujishusha mbele ya mwenzake. Yaani kukubali kushindwa kwenye jambo fulani ambalo halina muafaka kati yenu. maana kila mtu 'akipanda' na kujiona kuwa ana haki sana au kuwa anaonewa, basi hamna ndoa.

Umesema kitu cha kweli kabisa lakini pia mie ninaangalia kwa upande wa pili wa shilingi kwamba hata kama hawajawahi gombana bado wanaweza wakaishi vizuri kutokana na historia ya wahusika wenyewe kwani kama mmojawapo au wote alikuwa na mahusiano before ambayo alipitia kwenye magomvi wakati mwingine mtu anayachukulia yale yote aliyopitia kama lesson learnt hivyo akiingia kwenye mahusiano mapya anakuwa jasiri wa ku-handle issue kiiungwana na mwisho wa siku wanaishi bila conflict hivyo naungana na mdau Paul mathew aliposema ndoa ni kama bus hivyo mdau aingie mambo mengine yatajiwekwa sawa
 
Last edited by a moderator:
asante na karibu sana!

Mi nakushaur jitoe kwamoyo kuwa umeingia katka ndoa na mkiudhiana na mwenzio ucdhan suluhsho n kumkomoa kumtafutia mwenzie utaumia wewe kjrundkia majukumu nyc to hear
 
dah nikweli hum jamiiforum hakuna alie na ndoa yenye umri wa miaka 10 maana nahisi hili nijukwaa la vijana sana ambao halina uzowefu wa ndoa. naona post yingine hazina maana na hoja hii nawashauri kabla hujajachangia kitu soma kichwa cha habari ukiona haikuhusu endelea kuperuzi zipo ambazo zinakuhusu. hii ni kwa walio na ndoa tu. inakuhusu nini wewe ambae huelewi mambo ya ndoa?? nahisi tulio wengi hili jukwaa tunalitumia kupata umarufu tu yani uonekane kila maada! kama imekugusa jirekebishe.
 
Siri ya kudumu kwa ndoa ni maisha ya sala na hofu ya Mungu tu, hakuna cha ziada!!
 
Mi nakushaur jitoe kwamoyo kuwa umeingia katka ndoa na mkiudhiana na mwenzio ucdhan suluhsho n kumkomoa kumtafutia mwenzie utaumia wewe kjrundkia majukumu nyc to hear

yeah asante nitakuwa mwangalifu juu ya hilo!
 
Ukweli
kupendana
kuthaminiana
kuheshimiana
kujaliana
kuaminiana
kupeana
kuvumiliana
kulindana
subira

mengine nitaongezea baadae nipo kwenye foleni
 
Ukweli
kupendana
kuthaminiana
kuheshimiana
kujaliana
kuaminiana
kupeana
kuvumiliana
kulindana
subira

mengine nitaongezea baadae nipo kwenye foleni

asante! nitashukuru kuckia mengi zaidi!
 
msilete mazoea na mapenzi yenu kila siku lazima mlipalilie hata bustani usipoeka maji nanakuwa jangwa
 
Ndoa haina formula unaweza ukaiga za wenzio kumbe ndo unajimaliza kabisa, ingia ndani ya basi hata kama limejaa hata pa kuweka mguu hakuna we ingia tu likianza kumove utapa pa kuweka mguu. Usiogope karibu kwenye chama.

well said,zingatia sana hayo maneno
 
Ukubali kupoteza autonomy yako vinginevyo hakuna ndoa hapo...
 
1. Mpende mwenza wako( uone kuwa kuwa naye ni perfect choice). 2. Ukikosea omba msamaha, akikosea akiomba msamaha,msamehe kwa dhati, achilia kabisa usilimbikize moyoni. 3. ikitokea ubishi wa aina yeyote, agree to disagree. 4. Sikuzote mshukuru kwa kukubali kuoana na wewe. (these 4 principles works in both ways out)
 
simu ya mkeo iwe ya MKEO kweli,na yako iwe YAKO kweli,maana wagombanishi hawakawii kutuma msg kwa mkeo usiku kati na maneno mazito ya mahaba,kumbe hana hata uhusiano nae,ili mradi kuwagombanisha,na ia mahawara wako wa zamani wanaweza kutuma msg kwako mkeo akisoma kasheshe!kosa la mkeo liwe lako na lako liwe na mkeo,mtasemeheana kila siku!uvumilivu ndo usimamie enzi lenu,MWEKENI MUNGU MBELE YA KILA JAMBO LENU!KILA LA KHERI
 
Back
Top Bottom