Upendo na uvumilivu ndo tunda la roho
😛layball:
Umesema vizuri kuwa unatarajia kuingia kwenye ndoa.
Swali:- Umeshawahi kugombana na mwenzako huyo, na baadaye mkapatana kwa dhati (mkasameheana na uhusiano kuendelea)? Kama bado basi kuna mtihani hapo. Kwasababu inawezekana kabisa katika maisha yenu ya ndoa mkatofautiana, au kugombana, au kupingana katika jambo fulani. hapo kama kila mmoja hana 'uwezo' wa kusamehe na kusonga mbele basi hamna ndoa.
Muhimu:- Kila mmoja wenu anatakiwa kuwa tayari 'kushuka', au kujishusha mbele ya mwenzake. Yaani kukubali kushindwa kwenye jambo fulani ambalo halina muafaka kati yenu. maana kila mtu 'akipanda' na kujiona kuwa ana haki sana au kuwa anaonewa, basi hamna ndoa.
asante na karibu sana!
Mi nakushaur jitoe kwamoyo kuwa umeingia katka ndoa na mkiudhiana na mwenzio ucdhan suluhsho n kumkomoa kumtafutia mwenzie utaumia wewe kjrundkia majukumu nyc to hear
Siri ya kudumu kwa ndoa ni maisha ya sala na hofu ya Mungu tu, hakuna cha ziada!!
Ukweli
kupendana
kuthaminiana
kuheshimiana
kujaliana
kuaminiana
kupeana
kuvumiliana
kulindana
subira
mengine nitaongezea baadae nipo kwenye foleni
Ndoa haina formula unaweza ukaiga za wenzio kumbe ndo unajimaliza kabisa, ingia ndani ya basi hata kama limejaa hata pa kuweka mguu hakuna we ingia tu likianza kumove utapa pa kuweka mguu. Usiogope karibu kwenye chama.
msilete mazoea na mapenzi yenu kila siku lazima mlipalilie hata bustani usipoeka maji nanakuwa jangwa