dah naona ndoto yangu inaenda kutimia ila nimegundua kuna vijna wengi wana interest na kilimo na mimi ni mmoja wapo ingawa mawazo yangu ni tofauti kdg lakini kama hapa tungekuwa tunaweza kuona naamini kuna kitu kikubwa sana hapa tunakijadili ila hatujaweza kukiunganisha na kutoa kitu kikubwa,kimsingi kuna haja ya kuungana kwa watu wenye interest moja.....kuna mdau mmoja ameandika title "project funding sources" na imewekewa sticky pale kwenye post,huyu jamaa ameandika kuhusu starch na mie nilikuwa na project hiyo ila kila mmoja akawa na njia tofauti ya utekelezaji lkn iwapo kama tukiona kuna mawazo yanaingiliana basi tuweze kuwasiliana kama ambavyo nimeona ndugu Malila akifanya hapo juu na wengine pia......kwenye suala la kilimo bado kuna ndoto kubwa ya mafanikio imefichwa humo......tusikate tamaa haya mawazo ni makubwa sana na yana matunda sana........ngoja nim-pm yule jamaa wa starch project tuone kama tunaweza kuunganisha nguvu ya kushikana mikono ili tuvuke hili daraja maana naona mtu mmoja hawezi kunyoosha mikono na akashika pande 2 za daraja labda kama anataka kutumbukia kwenye maji na malengo yakaishia hapo.
TOGETHER WE CAN