Kwa walio tayari kufanya kilimo cha mahindi, alizeti, mbazi na ufuta

Kwa walio tayari kufanya kilimo cha mahindi, alizeti, mbazi na ufuta

ufuta unalipa sana mwaka huu tumeuza kilo moja sh. elfu mbili mia tisa......ufuta ni dhahabu iliyojificha
 
ufuta unalipa sana mwaka huu tumeuza kilo moja sh. elfu mbili mia tisa......ufuta ni dhahabu iliyojificha

Mkuu mbegu nzuri za ufuta naweza kuzipata wapi? Vp kwa ekari moja unaweza toa gunia ngapi?
 
Mkuu mbegu nzuri za ufuta naweza kuzipata wapi? Vp kwa ekari moja unaweza toa gunia ngapi?

mbegu nzuri zipo chuoni Naliendere..ukilima kisasa heka moja gunia tano had sita
 
kilimo kinatoa sana kama kweli utakuwa selousy
 
dah naona ndoto yangu inaenda kutimia ila nimegundua kuna vijna wengi wana interest na kilimo na mimi ni mmoja wapo ingawa mawazo yangu ni tofauti kdg lakini kama hapa tungekuwa tunaweza kuona naamini kuna kitu kikubwa sana hapa tunakijadili ila hatujaweza kukiunganisha na kutoa kitu kikubwa,kimsingi kuna haja ya kuungana kwa watu wenye interest moja.....kuna mdau mmoja ameandika title "project funding sources" na imewekewa sticky pale kwenye post,huyu jamaa ameandika kuhusu starch na mie nilikuwa na project hiyo ila kila mmoja akawa na njia tofauti ya utekelezaji lkn iwapo kama tukiona kuna mawazo yanaingiliana basi tuweze kuwasiliana kama ambavyo nimeona ndugu Malila akifanya hapo juu na wengine pia......kwenye suala la kilimo bado kuna ndoto kubwa ya mafanikio imefichwa humo......tusikate tamaa haya mawazo ni makubwa sana na yana matunda sana........ngoja nim-pm yule jamaa wa starch project tuone kama tunaweza kuunganisha nguvu ya kushikana mikono ili tuvuke hili daraja maana naona mtu mmoja hawezi kunyoosha mikono na akashika pande 2 za daraja labda kama anataka kutumbukia kwenye maji na malengo yakaishia hapo.
TOGETHER WE CAN
 
ushauri wangu kidogo
1.watu nane ni wengi sana utawasumbua ktk mutual consent.
2.mbainishe ikitokea mmekosa mavuno kulingana na projection zenu,what will be ur uplifting factor.
3.kilimo cha umwagiliaji(kudrill kisima)ni uhakika zaidi kuliko kutegemea mvua.
4.km mtakubaliana na kila mmoja achangie pesa,ni muhimu mkapractice warehouse receipt.

ni mtazamo tu.
 
ushauri wangu kidogo
1.watu nane ni wengi sana itawasumbua ktk kupata mutual consent.
2.mbainishe ikitokea mmekosa mavuno kulingana na projection zenu,what will be ur uplifting factor.
3.kilimo cha umwagiliaji(kudrill kisima)ni uhakika zaidi kuliko kutegemea mvua.
4.km mtakubaliana na kila mmoja achangie pesa,ni muhimu mkapractice warehouse receipt.

ni mtazamo tu.
 
Dah.. i wish ningekuwa na mtaji.. i wish.. naona wivu xana..

big up and i wish this will be successful.. tunahitaji akina bakhresa wengine..
 
Back
Top Bottom