Kwa waliochanja Chanjo ya CORONA Njoni mtoe uzoefu Ili tupime ufanisi.

Kwa waliochanja Chanjo ya CORONA Njoni mtoe uzoefu Ili tupime ufanisi.

Covid yenyewe inasababisha kuganda,
Kuna mambo zaidi ya 20 yanayoweza kuwa chanzo cha blood cloting.
Acha uongo,

Wasiochanja waliougua corona hapakuwa na case za Damu kuganda.

Kuganda Kwa Damu Kuna mahusiano direct na Chanjo, watengenezaji wenyewe wamekiri Hilo.
 
Nilichanja nimezaa mtoto and afya njema kabisa. Kifua mafua havipo.

Ila tumetokea kupenda sex sana labda hilo ndio badiliko. Mume wangu ana spid kali kunako.

Jiwe alidanganya watu bula sabab
Kuchanja kwako kunahusiana vipi na mzee wetu ?
 
Ila wakati wa Lockdown Dunia ilishuhudia mambo mengi sana
Ukipata mda angalia Documentary moja ya David Attenborough inayoitwa THE YEAR EARTH CHANGED
Utashangaa utulivu wa Dunia ulivyokuwa huwezi kuamini
Kwa machache tu
Kwa miaka 40 Los Angeles wameshuhudia hewa Safi
* Jalandar India baada ya lockdown tu siku ya 12 mji ulikuwa hauna ukungu wa hewa chafu kabisa na badala yake kwa mara ya kwanza kwa miaka 30 waliweza kuuona mlima Himalaya ambao ni 200km kutoka walipo ila ni clear
Yaani nisimalize utamu tafuta hiyo documentary
 
Back
Top Bottom