macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kuna watu ambao hali iliwaruusu kutochanja. Lakini kuna wengine wanashukuru sana kwa sababu chanjo iliwakoa pakubwa. Unajua kama umetoka kwenye familia ambayo ilipoteza mtu au watu kwa korona ndiyo unajua kuwa haikuwa mzaha na ungekimbilia kuchanja haraka sana.Kwahiyo hukupata side effect yoyote baada ya kuchanja Hadi hivi Leo?
Babu yangu kijijini pia alinisimulia kuwa alichanja, niliogopa sana na kumwuliza kwanini alichukua uamuzi huo,
Akajibu kuwa aliogopa kufa,
Nashukuru Mungu yupo hai Hadi sasa.