Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana umepagawa kabisaYah bangi yangu inaitwa Yesu. Kwani Kuna shida?
Kuumwa huko kumekuja baada ya kuchanja au alikuwa na Hali hiyo kabla?Kuna mmja alikuwa analalamika kuumwa umwa ila still yupo hai
Usijali mtumishi,MTUMISHI Rabbon hiyo bangi sio Kwa nia mbaya. Najua hapo huyo mtu amemtukana Yesu wangu. Hakua na lingine hapo. Ni Kwa nia njema.
Mama yangu alifariki miaka miwili baada ya chanjo tena ghafla Kwa heartattacheSalaam, Shalom.
Kwa mara ya kwanza, Nchi yetu ilipokea Rasmi Chanjo ya CORONA virus Kutoka nje aina ya Johnson Johnson mnamo July 24, 2021.
Na Chanjo Ile sie tulipewa Bure tofauti na Nchi zingine kama DRC, wao wakinunua Chanjo Kwa kugombania kuhofia kufa Kwa Corona.
Hadi sasa imebaki miezi 4 kukamilisha miaka mitatu tangu kuingia Chanjo nchini na kuanza zoezi Hilo la Chanjo nchini.
Asilimia kubwa ya walipinga Chanjo hizo walidai kuwa,madhara ya Chanjo hizo yataanza kuonekana dhahiri baada ya miaka mitatu tangu kupata Chanjo hizo.
Ni ombi LANGU, Kwa wote mliopata Chanjo hizo, piteni hapa na Kutoa uzoefu wa MAISHA kabla ya Chanjo na maisha baada ya Chanjo ya CORONA.
Tusaidieni kujibu maswali yafuatayo;
1. Ulichanja Chanjo ya coronavirus?
2. Je, AFYA zenu na za ndugu zenu zimeimarika zaidi na kuepuka kuugua kama zamani kabla ya Kupata Chanjo?
3. Changamoto mlizozipata ndani ya muda wa Chanjo Kwa miaka hii karibia mitatu ni zipi?
4. Faida mlizopata baada ya kuchanja kiafya ni zipi kulinganisha na kabla ya kuchanja?
Karibuni 🙏
Pole sana ndugu Kwa kupoteza mzazi!!Mama yangu alifariki miaka miwili baada ya chanjo tena ghafla Kwa heartache
YesPole sana ndugu Kwa kupoteza mzazi!!
Sisi pia tulipoteza majirani zetu wawili Kwa kuganda Damu.
Vipi wewe pia ulichanja?
Acha kumsingizia Yesu ww, kwani alikujibu kwamba twende.Nakumbuka nilimwambia Yesu mi naenda kuchanja ila tunaenda wote. Nilichanja Ile Johnson And Johnson na sijawahi patwa na kitu chochote Cha ajabu.
Kama hakuna shida ni kheri pia,Nilichanja j&j pamoja na mzazi wangu mpaka sasa bado sijaona side effect yoyote ile... Nasubiri kugeuka kuwa zombi
Mbona wanajieleza vizuri tu,Wote walio chanjwa hawawezi kukueleza ukweli maana ukiisha chanjwa unakua kama msukule hujielewi kama wale wanao sali kwa mwamposa.Ukweli ni kwamba chanjo zile zinamadhara kama hujayaona leo subiri mda yanakuja. Hilo ndilo lengo la beberu kama hujui.
Hata mimi toka nichanje sijapata mafuaSijapata madhara yyte sanasana trending yangu ya kupata maambukizi ya mafua imepungua before ilikuwa kila mwaka angalau mara mbili nitapata mafua ila sasa ni mara moja tu..na wala hayakai sana siku nne kwisha.
Madhara ya Chanjo kama ni yenye nia ovu hayawezi kujitokeza kwa miaka 3/5. Na yanaweza yasitokee kwenye mwili wako, ila yakatokea kwenye kila mtoto utakayemzaa. Labda awe zezeta, au awe shoga, au ashambuliwe na magonjwa mazito kama Kansa na kisukari, nk...Mimi nililaImkika kuchanja kwa kuwa nilikuwa na safari nje ya Tanzania kwa hiyo sikuwa namna.
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote niliyopata au nayapata. Nina miaka takribani 15 sijawahi kwenda hospital kwa tatizo lolote la kiafya
Mimi ilikua kila wakati kamasi zinanitoka... Mpaka sasa nina miaka 2 sijawahi shika kitambaa hadharani kupambania kamasiSijapata madhara yyte sanasana trending yangu ya kupata maambukizi ya mafua imepungua before ilikuwa kila mwaka angalau mara mbili nitapata mafua ila sasa ni mara moja tu..na wala hayakai sana siku nne kwisha.
Covid yenyewe inasababisha kuganda,Pole sana ndugu Kwa kupoteza mzazi!!
Sisi pia tulipoteza majirani zetu wawili Kwa kuganda Damu.
Vipi wewe pia ulichanja?
Covid yenyewe inasababisha heart attack kwa kiasi kikubwa sana.Mama yangu alifariki miaka miwili baada ya chanjo tena ghafla Kwa heartattache
Vumbi linaloingia mwilini kupitia hewa linatokaje ikiwa hupati mafua?Mimi ilikua kila wakati kamasi zinanitoka... Mpaka sasa nina miaka 2 sijawahi shika kitambaa hadharani kupambania kamasi