Ila wakati wa Lockdown Dunia ilishuhudia mambo mengi sana
Ukipata mda angalia Documentary moja ya David Attenborough inayoitwa THE YEAR EARTH CHANGED
Utashangaa utulivu wa Dunia ulivyokuwa huwezi kuamini
Kwa machache tu
Kwa miaka 40 Los Angeles wameshuhudia hewa Safi
* Jalandar India baada ya lockdown tu siku ya 12 mji ulikuwa hauna ukungu wa hewa chafu kabisa na badala yake kwa mara ya kwanza kwa miaka 30 waliweza kuuona mlima Himalaya ambao ni 200km kutoka walipo ila ni clear
Yaani nisimalize utamu tafuta hiyo documentary