Bora umerudi my dear.....karibu tena
mhh asante. Nataka seafood soup kwanza ndo tuongee. Nna bonge ya suprise!
I love you Vin Diesel...eti utakubali niteseke kwa wewe kuchukuliwa na mwengine?
Pale pale nilipokutana na Passion Lady wangu
akhuuu!sijawai kuolewa mie hebu usinichurie!
Na kweli nakupenda sana
Hivi wewe unapenda wangapi?
Tafadhali stay way!
Nyie ndio mnao nasa nyie!
Hatujawahi nasa mara ya kwanza,ya pili,tatu,mpaka mia.....haiwezi nasa mara 101
Mwambie akuelewe!
Tell him swr,hapa kagonga mwamba
Hivi shem mbona sikuelewi we kila sehemu unataka!
Mara my boss charminglady,
my boss Mamndenyi Paloma mara dada yangu KOKUTONA!
Lakini sasa unaingia pabaya kumsogelea my passion lady!
Angalia sana!
Anakurusha roho tu huyo kaka, wala usihofu awezi kubetray your trust.