Kwa waliokojoa kitandani tu!!

naomba ni ulize: Hivi kujikojolea kitandani watoto mpaka darasa la tatu au la nne, ni huku kwetu tu au mpaka ulaya na marekani??? Na kama kwetu tu, tatizo ni nini hasa???
 
Kukojoa ilikuwa inatesa sana unaishi kwa mashaka sana

Ukishaharibu asubuhi inawahi kufika, nakumbuka enzi za kuwahi namba ticha mkali, ile mnalala na nguo ili ulisikia jogoo kawika unaamka mbiyo shuleni.

Siku moja nilimwaga, ilibidi niamke nikaifua kaptura, nikaenda nayo shule imelowana.
 
Ukishaharibu asubuhi inawahi kufika, nakumbuka enzi za kuwahi namba ticha mkali, ile mnalala na nguo ili ulisikia jogoo kawika unaamka mbiyo shuleni.

Siku moja nilimwaga, ilibidi niamke nikaifua kaptura, nikaenda nayo shule imelowana.
Ah ah ah ah, mm number nilikuwa nawahi ila sithubutu kukanyaga shule mchafu, h ah ah kulikuwa na boys jiran zangu so walikuwa ndio kampani na walikuwa wananipenda, na huku mzee alinipiga bit nisiwe mchafu atanikana kuwa mm sio mtoto wake, aah nilikuwa smart. Had ujue nakojoa hadi uambiwe
 


ahahaha ulikuwa kikojozi msafi.
 
ahahaha ulikuwa kikojozi msafi.
Mnoo msafi had nikicheza ready sichafuki shuleni, Heaven Sent alikuwa ananishangaa mbons nakuwa msafi hivyo na kucheza kote ready kumbee ah ah ah sitak kukumbuka. Kumbee kikojozi. Nawazaga wale boys wangu wangenijua sijui ingekuwaje cz uhii ningekuwa sina pa kujificha. Walivyo nizoeaga mbona ningetaniwa hadi nifee kwa aibu ndani.
 
Haha nimewaza ile crew walivyokuwaga wehu, aisee ungepata tabu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi unafurahisha khaa
 


Hii staili ya kulala na manguo machafu pembeni kwangu ilikuja kuwa kawaida sana kwa7bu kukojoa ilikuwa given...... lazma uwe na nguo za kugandamizia mze baba ili wasistuke... ngoma inakuja harufu.... hiyo ndo ilikuwa inaumbua...... kuna siku dogo akapitishwa anaimbiwa kale kawimbo, "kikojozi na nguo kaitia motooo" bi mkubwa akatishia kuniunganisha..... nilitoka nduki moja la hatari.... sikurudi hadi jioni kabisa walipoanza kunibembeleza kwamba nisirudie tena.
 
ha ha ha hiithread imenikumbusha kitambo sanaa nlikuwa nkilala na binamu yangu aisee...siku nimepiga kojo mojaaisee ambalo hata ningepepa upepo lsingkauka....dadeki nkamka usiku nika change nguo alafu nkaskumia pale nlipolala me nkalala alipolala alipoamka ...akawa aashangaa tuu mza anamfokea kuwa amejikojolea mbona mwenzio nguo zake kavu.....dah kumbe nmeshafanya tukio....lakini ukubwai nlimuapologize tuko poa tuu...ache chezea kujikojolea ndotoni kutamu ndtoni tu ukiamka majanga.
 
Hili kitu nimelimwaga aisee.Lilikata std 5 eebana naanza form one likarudi walah niliteseka ule mwaka.Niliomba Mungu juu chini.ila baadae ikakata ndio ikawa mwisho wa fedheha ile.
Ila watu waliokojoa sana wengi ni smart sana kwa akili za darasani.tunahitaji research hapa.
 
Nimegundua wote tumepitia kukojoa vitandani lakini siri yetu tu. Tumetofautiana namna tulivyoacha Tu.
 
Litarudi tena hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…