usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,898
Kuna ambao wakipigwa wanaacha.Siumeona hata Shunie alivyotishiwa akaacha.
πππππ wapo waliokiri kipigo ndio kilifanya kazi.Mm sijatishiwa kupigwa
Nilitishiwa kuhusu kuimbiwa kindumbwe ndumbwe na kuwekwa kwenye godoro langu nililokojoa nianze kuimbiwa mtaanii kwanza halafu nipelekwe shule tena na godoro langu acha kabisa
Mbona nilikuwa silali vizuri yaani
πππππ wapo waliokiri kipigo ndio kilifanya kazi.
Siku hizi naona unakojoa kiutamuNilikuwa nafinywa kwenye mapaja na kupigwa nikikojoa na sijaacha
Niliacha bada ya kutishiwa hivyo