usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,898
Me mpk nilipokuja kugundua haka kamtego ka kukiona Choo ndotoni nikukikimbia nikaacha kabisa kujikojolea nilikua nakikimbia choo cha ndotoni ili nikimbie na bakora za asubuh kukikucha asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ambao wakipigwa wanaacha.Siumeona hata Shunie alivyotishiwa akaacha.
😀😀😀😀😀 wapo waliokiri kipigo ndio kilifanya kazi.Mm sijatishiwa kupigwa
Nilitishiwa kuhusu kuimbiwa kindumbwe ndumbwe na kuwekwa kwenye godoro langu nililokojoa nianze kuimbiwa mtaanii kwanza halafu nipelekwe shule tena na godoro langu acha kabisa
Mbona nilikuwa silali vizuri yaani
😀😀😀😀😀 wapo waliokiri kipigo ndio kilifanya kazi.
Siku hizi naona unakojoa kiutamuNilikuwa nafinywa kwenye mapaja na kupigwa nikikojoa na sijaacha
Niliacha bada ya kutishiwa hivyo