asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,667
- 1,411
ndoto ya kukojoa kitandani huwa tamu sana halafu real.mbaya zaidi mkojo wote ukishaisha ndo unashtukaAisee nimecheka kama mwehu.....! Yaani unaota mnacheza mpira halafu unaamua kuacha kucheza unaenda pembeni unakojoa ukija kushtuka uko kitandani!
Kinachinishangaza kwanini ilikuwa lazima tuote? Yaani kama sio mgonjwa lazima uote unakojoa tu ukojoe kitandani. Watoto wote kesi hio hio unaota.Aiseeee nimecheka sana, kuna siku nilikunywa maji sana(napenda maji tangu mtoto) ila nilikuwa najiepusha kunywa maji mengi usiku. Sasa hiyo siku tukawa tunafanya mashindano ya kunywa maji na kaka yangu. Nikanywa maji hadi tumbo likauma.
Nikalala na mama siku hiyo, usiku nikaota nakojoa kichakani kumbe nakojoa kitandani, nilistuliwa tu na kofi na mama. Yaani asubuhi ni full kuchekwa. Since that day nikawa makini sana kutokunywa maji mengi usiku.
Hahahaaa sijui kwanini!??mikojo ya kitoto inanukia ubwabwa ubwabwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaa uwiii! Mbavu zangu chura ili usikojoe?Walikuwa wananitishia kunifunga chura shingoni.
Duh ulikua unakunywa maji nini kabla ya kulala unapiga lita nzima!Mi nimeuachia adi nikiwa std 7 dadeki!… ila std 7 nilkua nauachia mara moja moja na nilkua nikiamka namaindi kinoma
Hahaa ugenini tena? Ikawaje kulipokucha?kukjoa ktandan hakukuwai kumuacha mtu salama. mi nlkjoa ugenini nlpstuka ckjua ni saa ngap ila ckulal tena mpk asubuhi nltamn kua mchawi ili niukaushe mkojo kichawi.[emoji56][emoji56]
Hahahaa[emoji2] [emoji2] yani hata kama nilkua nikinywa bilauri(nowdays glass) ila hakukuchi salama lazma niharibu! sijui ulkua ugonjwa nashindwa kuelewaDuh ulikua unakunywa maji nini kabla ya kulala unapiga lita nzima!
Pole sana... this fellow remembered me days many much...Babu hadi mimi hapa my ribs get trembling immediately
Tupe uzoefu wako wa kulimwaga kojo utotoni. Mi nimelimwaga mpk darasa la sita *****hahaha *****
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaaa sijui kwanini!??
Duh wewe ulikojoa hadi umri wa kujua mademu! [emoji15] au zilikua aibu za kivulana tuUbaya wa kulimwaga.ni kuambiwa toa godoro nje likakauke.
Alafu nje kuna kademu unakapenda kinoma.na mother kakomaa ulitoe muda huo huo.
My brother unaweza ukazimia.