Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Mimi nilikuwa stadi kwelikweli..! Nilikuwa najigeuza nakojoa kwa braza bmkubwa akija asubuhi brother ndiyo anakula kichapo..!

Nikiambiwa ni mimi nalia ile mbaya huku nikikomaa sijakojoa mimi, sasa siku moja nikamkojolea broo nyuma mbele kwenye mship dodo wake ukawa hapajaloana ile muda kidogo bmkubwa kaja kutuamsha akajua mchezo nilikula makofi ya matako mpaka leo sijawahi kojoa tena..!

Why nilikuwa nakojoa nilikuwa naogopa kuamka sababu ya PANYA walikiwa wanazurura wengi usiku.
 
Aiseeee nimecheka sana, kuna siku nilikunywa maji sana(napenda maji tangu mtoto) ila nilikuwa najiepusha kunywa maji mengi usiku. Sasa hiyo siku tukawa tunafanya mashindano ya kunywa maji na kaka yangu. Nikanywa maji hadi tumbo likauma.

Nikalala na mama siku hiyo, usiku nikaota nakojoa kichakani kumbe nakojoa kitandani, nilistuliwa tu na kofi na mama. Yaani asubuhi ni full kuchekwa. Since that day nikawa makini sana kutokunywa maji mengi usiku.
 
Aisee nimecheka kama mwehu.....! Yaani unaota mnacheza mpira halafu unaamua kuacha kucheza unaenda pembeni unakojoa ukija kushtuka uko kitandani!
ndoto ya kukojoa kitandani huwa tamu sana halafu real.mbaya zaidi mkojo wote ukishaisha ndo unashtuka
 
Aiseeee nimecheka sana, kuna siku nilikunywa maji sana(napenda maji tangu mtoto) ila nilikuwa najiepusha kunywa maji mengi usiku. Sasa hiyo siku tukawa tunafanya mashindano ya kunywa maji na kaka yangu. Nikanywa maji hadi tumbo likauma.

Nikalala na mama siku hiyo, usiku nikaota nakojoa kichakani kumbe nakojoa kitandani, nilistuliwa tu na kofi na mama. Yaani asubuhi ni full kuchekwa. Since that day nikawa makini sana kutokunywa maji mengi usiku.
Kinachinishangaza kwanini ilikuwa lazima tuote? Yaani kama sio mgonjwa lazima uote unakojoa tu ukojoe kitandani. Watoto wote kesi hio hio unaota.

Nafikiri kizazi chetu hatutawachapa hovyo watoto wakikojoa kwasababu tunaelewa kinachowasibu.
 
kukjoa ktandan hakukuwai kumuacha mtu salama. mi nlkjoa ugenini nlpstuka ckjua ni saa ngap ila ckulal tena mpk asubuhi nltamn kua mchawi ili niukaushe mkojo kichawi.[emoji56][emoji56]
Hahaa ugenini tena? Ikawaje kulipokucha?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aiseee,enzi hizo ilikuwa hatareeee sana[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom