Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Pole sana.

Nilipoona like yako nikarudi tena mjengoni kuona yanayojiri.

Daaahhh!!! Ndoto inayotimia ni ya kukojoa tu ila ya kuokota hela unaamka unakuta hamna
We acha tuu ndugu!!!! Sijui ni kwa nini bhanaa!!!!
 
Weeee, huu mchezo hauhitaji hasira, nakumbuka mimi na bwana mdogo ( enzi hizo sasa hivi tu maofsa flani hivi usihoji) tulikuwa vikojozi mbayaa, kama mibakora tullichezea sana tu, tukaibuka na mbinu ya kulala kwa zamu aaa wapi ikafeli, tukaibuka na mbinu mpya, tunaongoa matandiko ( godoro anasa) tunajaladia asubuhi tuaamka na kurudishia mchezo unasonga, tena kwa mbwembwe tu natangaza tumeacha ukojozi, ngoma alikuja mgeni weee asubuhi ilitembea fimbo mbaya, nilisahau kukojoa kila nikikumbuka kipigo, tulimpiga mande kalowa chepe chepe.
 
Umenichekesa sana eti tulimpiga mande mgeni kama yupo shamba la irrigation maana hapo lazima utoboze chini.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Aisee, mbinu kibao lakini ishu imevuja

 
Mimi nilipata tabu sana pindi ilikua ikiwa zamu ya mwalim mkali pale nilipokua nikilala nimavaa nguo za shule ili nikikurupushwa tu nianze mbio za shule mamamae unashutuka muda muafaka unakuta nguo zote zimeloa alafu zinanua utadhani beberu
 



Exactly my experience.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…