BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Mkuu si useme tu ni wewe??? Maana hebu tuambie ulijuaje kama alikuwa anasikia raha?? Ulijuaje kama alikuwa anasikia umotomoto??... Ulijuaje kama usingizi ulimpitia akaanza kuota kuwa yuko chooni anajisaidia???Umenikumbusha mbali sana mkuu
kuna jamaa yeye haja kubwa ilimbana sana sema sasa alikuwa anaogopa kwenda chooni(choo kipo nje)
Akayabana sana mwishowe usingizi ukampitia akaanza kuota
Ameamka kisha yupo chooni anajisaidia huku anasikia rahaa gafla anasikia umotomoto kuja kushtuka tayariii kashayajaza
sema ni wewe . ulikuwepo nae ndotoni?Umenikumbusha mbali sana mkuu
kuna jamaa yeye haja kubwa ilimbana sana sema sasa alikuwa anaogopa kwenda chooni(choo kipo nje)
Akayabana sana mwishowe usingizi ukampitia akaanza kuota
Ameamka kisha yupo chooni anajisaidia huku anasikia rahaa gafla anasikia umotomoto kuja kushtuka tayariii kashayajaza
Afadhali umenisaidia mpenzi wangu...sema ni wewe . ulikuwepo nae ndotoni?
mbona sisi tumekubali tulikojoa bna? ila tuseme kweli ule mkojo wa ndotoni mtamu bna.tatizo lake unashtuka baada ya kumaliza mkojo woooteAfadhali umenisaidia mpenzi wangu...
Afadhali ukojoe karibia kunakucha... Ole wako uuachie mida ya saa sita hivi... unalala kwa mawazo na shida tupu!mbona sisi tumekubali tulikojoa bna? ila tuseme kweli ule mkojo wa ndotoni mtamu bna.tatizo lake unashtuka baada ya kumaliza mkojo wooote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kabisa... Nilisevu hili zoezi nilipoingia la saba.... hapo angalau nlikuwa nalimwaga mara moja kwa wiki. Kabla ya hapo nadhani ilikuwa daily...
Ndoto yangu njema ya kumwaga kojo ilikuwa mashindano ya kumwaga kojo kwa mbali... Mademu wametuzunguka wanatushangilia waone nani kidume kinachorusha mkojo mbali... na soulmate wangu wa utotoni Hope alikuwa miongoni mwa wachuchu waliokuwa wanashangilia... basi Hope akawa ananishangilia, nami kidume nikiwa nawanyoosha maswahiba kwa kurusha kojo mbali.... Mara Hamad!!... shuubamit!! Hakuna mashindano na godoro lishaloa... ***** wallah
Kama kawaida asubuhi nikadamka na kigodoro changu na kufua mashuka yangu huku nikisubiria bakora za mama yangu ambaye alikuwa mwalimu wangu wa shule ya msingi...
Hahahahaaaaaamikojo ya kitoto inanukia ubwabwa ubwabwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ha haha me nilikuwa nakojoa mara moja moja halafu namchukua mdogo wangu alikuwa analala sana namsukumizia kwenye mikojo yangu..akiamka analia mama anampiga ila akirudi ananidunda ,,.. tatizo lingine mimi siyo muongeaji kujitetea sana siwezi na kumpiga siwezi ila dawa yake nilikuwa nasubiria niharibu nimsogeze na sijawahi kukamatwa
Antie usijifanye haijawi kukukuta.Aiseeee
Sijawahi cheka kama leo!!! Mhenga Mwenzanguu Asante kwa mada!!!!
Sina Mbavu mieee
Hahaha miss chagga ni muuaji kama watu wasiojulikana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweoi we noma, kwahiyo dogo alikuwa anachapwa kwa kosa lako!!
Ndiyo na yeye alikuwa ananipiga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweoi we noma, kwahiyo dogo alikuwa anachapwa kwa kosa lako!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha miss chagga ni muuaji kama watu wasiojulikana...
Mdogo wako anakupiga!!! Kwahiyo alikuwa anajua sio yeye alokojoa?Ndiyo na yeye alikuwa ananipiga
HahahaAntie usijifanye haijawi kukukuta.
Ndiyo najua nakausha me na mdogo wangu tumefuatana sana halafu yeye mrefu amenikwida sanaMdogo wako anakupiga!!! Kwahiyo alikuwa anajua sio yeye alokojoa?
Ha ha babu si kweliHahaha miss chagga ni muuaji kama watu wasiojulikana...