Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Moja ya vitu vilivyokuwa vibanikosesha amani....huenda Mimi nikawa kati ya watu waliaibika zaidi na ishu ya ukikojozi. Ninisikia vibaya sana baada kukumbuka adha nilizokuwa nazipa. Anyway, yamepita na kwa sasa ninaheshimika na watu
 
mi nimesoma na mtu five na six moshi tech alikuwa anajikojolea mpaka tunamaliza shule
Wengine huwa ni maradhi kuna mpwa wangu hiyo hali ilimsumbua mpaka form six babu yake akamtafutia dawa za kienyeji ndio kupona. Mpaka leo yuko powa,mwingine ni mshikaji nae amepona hivi ukubwani kwa dawa za kienyeji
 
Hii hakuna mtu hajapitia, nimetandikwa jamani acheni
 
Nimekumbuka mbali sana mkuu, kitu kilichonifanya niache kukojoa kitandani ni jioni tumetoka kwenye tohara usiku wake nikajikojolea, aisee kwa yale maumivu hakuna rangi niliacha kuona[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina mtoto wangu sijui amenirithi! Maana hata simuelewi anavyoumwaga kama bomba la dawasco lililokatika.
 
One of the best thread so far [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nimecheka ile mbaya kwa comments za wana jf [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana jaman sitaki hata kukumbuka aisee kikojozi hakijawahi muacha mtoto salama eti sasa hivi tumekuwa wahenga yaan me mtoto wangu simchapi jaman akijikojolea usiku
 
Nilikojoa kitandani mpaka darasa la sita, zilitumika kila njia ili niache haikusaidia, siku mama aliponiambia kesho ukikojoa nakupeleka hospitali ndio siku ambayo niliacha.
 
Nakuona ujue... Sio kwa kojo lile mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…