KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Kama unakumbuka kukojoa kitandani ni kashikashi zipi ulipata by that time..mimi nakumbuka nilikuwa napigwa na kuambiwa nitoe matandiko huko nikila fimbo!
Raha niliyokuwa naipata nipale niliota nipo upenuni nakujoa huku washikaaji wananisibiria nusu dakika najiluta nipo kwenye dimbwi!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]