Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Ulikuwa unalala kwa was was ndio maana
Inawezekana, maana ugenini sikuwahi kuharibu, ila home ilikuwa kawaida sana, wiki 2 haziwezi kupita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa unalala kwa was was ndio maana
Kukojoa ilikuwa inatesa sana unaishi kwa mashaka sanaInawezekana, maana ugenini sikuwahi kuharibu, ila home ilikuwa kawaida sana, wiki 2 haziwezi kupita.
Kukojoa ilikuwa inatesa sana unaishi kwa mashaka sana
Ah ah ah ah, mm number nilikuwa nawahi ila sithubutu kukanyaga shule mchafu, h ah ah kulikuwa na boys jiran zangu so walikuwa ndio kampani na walikuwa wananipenda, na huku mzee alinipiga bit nisiwe mchafu atanikana kuwa mm sio mtoto wake, aah nilikuwa smart. Had ujue nakojoa hadi uambiweUkishaharibu asubuhi inawahi kufika, nakumbuka enzi za kuwahi namba ticha mkali, ile mnalala na nguo ili ulisikia jogoo kawika unaamka mbiyo shuleni.
Siku moja nilimwaga, ilibidi niamke nikaifua kaptura, nikaenda nayo shule imelowana.
Ah ah ah ah, mm number nilikuwa nawahi ila sithubutu kukanyaga shule mchafu, h ah ah kulikuwa na boys jiran zangu so walikuwa ndio kampani na walikuwa wananipenda, na huku mzee alinipiga bit nisiwe mchafu atanikana kuwa mm sio mtoto wake, aah nilikuwa smart. Had ujue nakojoa hadi uambiwe
Mnoo msafi had nikicheza ready sichafuki shuleni, Heaven Sent alikuwa ananishangaa mbons nakuwa msafi hivyo na kucheza kote ready kumbee ah ah ah sitak kukumbuka. Kumbee kikojozi. Nawazaga wale boys wangu wangenijua sijui ingekuwaje cz uhii ningekuwa sina pa kujificha. Walivyo nizoeaga mbona ningetaniwa hadi nifee kwa aibu ndani.ahahaha ulikuwa kikojozi msafi.
Mnoo msafi had nikicheza ready sichafuki shuleni, Heaven Sent alikuwa ananishangaa mbons nakuwa msafi hivyo na kucheza kote ready kumbee ah ah ah sitak kukumbuka. Kumbee kikojozi. Nawazaga wale boys wangu wangenijua sijui ingekuwaje cz uhii ningekuwa sina pa kujificha. Walivyo nizoeaga mbona ningetaniwa hadi nifee kwa aibu ndani.
Ah ah ah ah achaa kabisaHaha nimewaza ile crew walivyokuwaga wehu, aisee ungepata tabu sana
Hii nakubaliana nayoWanaokojoa kitandani wengi Huwa wana akili sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi unafurahisha khaaNlikua nikijikojole naamka usiku godoro naligeuza juu chini bi mkubwa asilione., viboko vilinifanya nibuni njia mbadala... Simple [emoji4] [emoji4] [emoji1]
Ila godoro langu lilikua lina ramani za dunia nzima, kuanzia barani ulaya, asia mpaka africa... Kila nchi na mikoa yake, mpaka vijiji...
Duh nakumbuka mara ya kwnza kukojoa kitandani nikiwa najitambua ilikua nipo darasa la nne, niliota tumeenda kucheza chandim sasa kabla mechi kuanza nikawaambia jamaa wanisubirie nitoe chururu basi nikaenda pembeni ya goli nkaanza kukojoa duh yani nlikua najiskia raha ajabu afu kojo haliishi yani kama robo saa hv minakojoa mdogo mdogo yani mpaka watuwazima wanapita mi nawasalimia huku nakojoa uleutamu haukua wakawaida ghafla nikanza kuhisi joto lenyeunyevu hapo ndipo nlipo gundua ulikua mtego na maumivu ya kibofu yalikua makali kiasi chakukatisha usingizi, ikabidi nitoke kwenye ndoto fasta nikawahi toi then nikachange nguo nikachukua na nguo chafu nikagandamizia pale palipo lowa bahati nzuri palikua hapajaloa sana sasa kazi asubuhi ikiwa kulinda lileeneo madogo wasijue kama bro niliharibu mambo usiku # good old days
Litarudi tena hiloHili kitu nimelimwaga aisee.Lilikata std 5 eebana naanza form one likarudi walah niliteseka ule mwaka.Niliomba Mungu juu chini.ila baadae ikakata ndio ikawa mwisho wa fedheha ile.
Ila watu waliokojoa sana wengi ni smart sana kwa akili za darasani.tunahitaji research hapa.