Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

😀😀😀😀
 
Bora ulichagua uelekeo mapema advance physics siyo poa huwa inabadilika kabisa siyo ile uliyokua unaionea Olevel ,physics ilininyanyasa sana na mambo yake ya projectile motion
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Chai
 
Jamaa fulani kaenda hewani kidogo alikuwa yupo vizuri kiasi chake,halafu si alikuwa ni president wa shule kama sijakosea,aliniguide kiasi chake kwenye practicals za chemistry o level
 

Hukupitia hiyo pressure peke yako hata mimi yalinikuta.
Nafika shule form five siku kwanza nimepangiwa bweni baada ya chakula jamaa almost wote wameenda prepo kujisomea, wengine kadhaa wamekusanyika bwenini wanafanya solving ya Physical Chemistry.

Kumbuka masomo hayajaanza kabisa, mi nimetoka kwetu nina counter books mpya wala sijawahi kusoma tuition popote wala sina pamphlet wala kitabu cha aina yoyote.

Stress zake hazielezeki
 
Ndio maana niliamua kuwa nabaki Dom Tu,kwenda darasani ni kwa manati saaana. Kila nikiingia darasani walikuwa wanadhani nimehamia. Kila siku uniform mpya hazichakai[emoji23]
 
We Mwamba ulisoma Pugh....

Kwenye pumb u erosion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…