Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Sisi tuliosoma ECA tutaanzisha wa kwetu hahahaRah ya huu Uzi watu wote wamesoma PCM PCB na wamesoma izo shule Maalum [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tuliosoma ECA tutaanzisha wa kwetu hahahaRah ya huu Uzi watu wote wamesoma PCM PCB na wamesoma izo shule Maalum [emoji23]
😀😀😀😀Wanafunzi pia hawapendi kufundishwa wanaona kama wanapotezewa muda tu... Tulikua na mwalimu wa chemistry jamaa alikua anafundisha shule mbili za private huku kaajiriwa serikali
Jamaa ukiacha practical sidhani kama aliwahi hata kutufundisha, alikua mtu wa vyombo alikua anakuja class tunapiga nae story tu za mademu😃😃
Nime cheka kwa nguvu😂🤣, na Hilo jina la malaika Sasa😂Kumbe misukosuko uliianza siku nyingi tu mkuu😀😀
Sisi ambao hatuja Soma shule, tuseme nini 🤣😂😄Bora wewe mi wakati naripoti form 5 nilikuta madogo ndo wanafundisha walimu yani mwalimu ndo anakula kipindi ananolewa nilibaki nashangaa na tranka yangu kichwani
Bora ulichagua uelekeo mapema advance physics siyo poa huwa inabadilika kabisa siyo ile uliyokua unaionea Olevel ,physics ilininyanyasa sana na mambo yake ya projectile motionImagine natoka kibaha nakuja kupiga kipindi mchikichini kwa mudi physics (rip) ticha
Nilipiga division 4 o level lkn leo mimi ndo yule ambae matangazo yote ya mpira kutoka azam tv hayaendi hewani bila mimi kuhusika kwa asilimia 95%.
Sent from Tesla device phone
Kwa kweli hata mimi nimeshangaaPugu imekua lini vipaji maalumu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha kijana mmoja anaitwa Rajabu ndegeulaya.
Tuna report advance Azania yeye alipitisha tangazo la kuwa anafundisha tuition Kwa WANACHUKUA PHYSICS, CHEMISTRY NA PURE MATHEMATICS.
WATU walizani ni form six kumbe ni form five alishamaliza topic zote mpaka za six basi ikabidi tuendelee kupiga mapindi kwa Ndegeulaya.
Nakubaliana na weweElimu ya kidato cha tano na Sita ni ya kupoteza muda tu. Binafsi nimeipitia kwa sababu sikuwa na taarifa sahihi za kujitosheleza.
Asiende combination yoyote yenye PhysMsaada kijana wangu ana Phy-D,Bios-CGeog-C,Chem-C na Maths-D napo probably anaangukia Comb gani A level?
ChaiKuna dogo nyuma yetu alikua anasoma pcbm.... Yaani physics, chemistry, biology na pure mathematics.... Na bam juu nikawa namwambia ikifika necta utakataliwa kufanya mtihani wa pure mathematics maana hawawezi ruhusu usome masomo manne, aisee sijui ilikuaje nilikuja sikia aliruhusiwa kufanya mitihani yote
Wataalam hapa watatusaidia
Wala B haikuwepoHata miaka yetu 2013 physics ilikua haina A nchi nzima NI hatari aisee
Jamaa fulani kaenda hewani kidogo alikuwa yupo vizuri kiasi chake,halafu si alikuwa ni president wa shule kama sijakosea,aliniguide kiasi chake kwenye practicals za chemistry o levelUmenikumbusha kijana mmoja anaitwa Rajabu ndegeulaya.
Tuna report advance Azania yeye alipitisha tangazo la kuwa anafundisha tuition Kwa WANACHUKUA PHYSICS, CHEMISTRY NA PURE MATHEMATICS.
WATU walizani ni form six kumbe ni form five alishamaliza topic zote mpaka za six basi ikabidi tuendelee kupiga mapindi kwa Ndegeulaya.
Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa kusoma
Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti Moja ya shule tajwa hapo combination ya pcm... Kipindi hicho special school wamejaa watoto wa dar kutoka (kibaha, Azania, pugu) aisee Hawa madogo wana sifa kishenzi.... Mtu anakuja kuripoti form 5 ameshamaliza topic zote za form 5 anakaribia kumaliza za form 6
Sasa si matozi tulivyomaliza form 4 vitabu tukatupa Kule mpaka siku ya kuripoti hujawahi kupiga pindi lolote... Unakutana na vitoto vimesoma sijui mchikichini huko aisee wamefuta topic zote, aisee nilipata presha sana mpaka kuzoea ile Hali.... Nakuta madogo wanapiga integration kama hawana akili, ukikaa bwenini wanaulizana kwa nguvu reaction za organic. Chemistry huko....
Dah yaani mwezi wa kwanza form 5 watu wanasolve necta review nikasema hapa nimeyatimba... Aisee ile presha ya ku catch up nilipata shida Sana sio Siri... Ukiwa na roho nyepesi unaweza kukata tamaa Moja kwa Moja
Kuna dogo tumeingia form 5 alikua anaitwa T.O (Tanzania one) alitukimbiza wote form 4 aisee huyu Jamaa mpaka Leo hua namuogopa. Hua namwambia hata hii kazi ya u engineer unayofanya unastahili kua somewhere else una potential kubwa sana, picha linaanza tumeingia form 5 hapo.... Sasa form 6 walikua wanafanya fitness tests (hii anatokea mwanafunzi mmoja au wawili wanatunga mtihani alafu wengine wanafanya japo sio lazima)
Ujinga wa hii mitihani wanafunzi wanajua kukomoana yaani maswali yote unakuta ya kibabe... Kuzungusha 0 huku ni kawaida tu ndo maana wengi walikua hawataki huu ujinga, dogo bana tunafika form 5 kaskia form 6 wanafanya fitness test ya physics dogo akazamia akapiga Pepa... Matokeo yanatoka form 6 karibu wote wamefeli dogo kawakimbiza.... Wote wanaulizana hili jina nani mbona hatumjui... Kuja kuulizia wakaja kugundua ni dogo wa form 5 aisee jamaa walimind kinoma akapigwa marufuku kabisa kusogeza pua kwenye fitness tests za form 6
Huyu dogo tulipofika form 6 sidhani kama aliwahi kukaa akasoma, jamaa alikua anakaa zake class watu wamepanga foleni na maswali Yao yaliowashinda dogo anapiga yote tu hajali kama ni ya physics, chemistry, pure au bam ye anasolve tu. Alikuja kua Tanzania one tena form 6 jamaa walimtangaza hesabu paper 1 na 2 zote alipiga 100%.
Huku kama una roho ndogo sio pa kwenda mi nusura panishinde nilitaka nirudishe mpira kwa kipa(kuhamia private)
Vilaza huwa mnapenda sana kutisha watu!
Kuwa mwalimu au!?Rajabu juma ndegeulaya ,o'level alipiga na additional mathematics aisee alisoma azania na akarudi hapo hapo
Nchi kubwa sana muulize jamii yake (mtaani) iliyomzunguka tuumesaidia nini nchi na u genius wako wa kukariri ufaulu mitihani ya Necta?
Ndio maana niliamua kuwa nabaki Dom Tu,kwenda darasani ni kwa manati saaana. Kila nikiingia darasani walikuwa wanadhani nimehamia. Kila siku uniform mpya hazichakai[emoji23]Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa kusoma
Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti Moja ya shule tajwa hapo combination ya pcm... Kipindi hicho special school wamejaa watoto wa dar kutoka (kibaha, Azania, pugu) aisee Hawa madogo wana sifa kishenzi.... Mtu anakuja kuripoti form 5 ameshamaliza topic zote za form 5 anakaribia kumaliza za form 6
Sasa si matozi tulivyomaliza form 4 vitabu tukatupa Kule mpaka siku ya kuripoti hujawahi kupiga pindi lolote... Unakutana na vitoto vimesoma sijui mchikichini huko aisee wamefuta topic zote, aisee nilipata presha sana mpaka kuzoea ile Hali.... Nakuta madogo wanapiga integration kama hawana akili, ukikaa bwenini wanaulizana kwa nguvu reaction za organic. Chemistry huko....
Dah yaani mwezi wa kwanza form 5 watu wanasolve necta review nikasema hapa nimeyatimba... Aisee ile presha ya ku catch up nilipata shida Sana sio Siri... Ukiwa na roho nyepesi unaweza kukata tamaa Moja kwa Moja
Kuna dogo tumeingia form 5 alikua anaitwa T.O (Tanzania one) alitukimbiza wote form 4 aisee huyu Jamaa mpaka Leo hua namuogopa. Hua namwambia hata hii kazi ya u engineer unayofanya unastahili kua somewhere else una potential kubwa sana, picha linaanza tumeingia form 5 hapo.... Sasa form 6 walikua wanafanya fitness tests (hii anatokea mwanafunzi mmoja au wawili wanatunga mtihani alafu wengine wanafanya japo sio lazima)
Ujinga wa hii mitihani wanafunzi wanajua kukomoana yaani maswali yote unakuta ya kibabe... Kuzungusha 0 huku ni kawaida tu ndo maana wengi walikua hawataki huu ujinga, dogo bana tunafika form 5 kaskia form 6 wanafanya fitness test ya physics dogo akazamia akapiga Pepa... Matokeo yanatoka form 6 karibu wote wamefeli dogo kawakimbiza.... Wote wanaulizana hili jina nani mbona hatumjui... Kuja kuulizia wakaja kugundua ni dogo wa form 5 aisee jamaa walimind kinoma akapigwa marufuku kabisa kusogeza pua kwenye fitness tests za form 6
Huyu dogo tulipofika form 6 sidhani kama aliwahi kukaa akasoma, jamaa alikua anakaa zake class watu wamepanga foleni na maswali Yao yaliowashinda dogo anapiga yote tu hajali kama ni ya physics, chemistry, pure au bam ye anasolve tu. Alikuja kua Tanzania one tena form 6 jamaa walimtangaza hesabu paper 1 na 2 zote alipiga 100%.
Huku kama una roho ndogo sio pa kwenda mi nusura panishinde nilitaka nirudishe mpira kwa kipa(kuhamia private)
Kwakweli Advance haina Umuhimu wowoteSijaona sababu ya msingi ya kwenda advance mpaka sasa
We Mwamba ulisoma Pugh....Huyu niliyesoma nae alikua T.0 o level na advance pia... Yaani alivyokuja advance akawa anaitwa T.O nadhani Kuna watu hata jina lake walikua hawalijui
Mwaka wetu top 10 jamaa ndo aliongoza huku hao Tisa wote waliobaki wakiwa mademu tupu, kipindi hicho kifungilo na Marian girls weka mbali na watoto