Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Mkuu pugu hapo nimewaweka kwa makosa, ila waliosoma ilboru wanajua mziki wa kisimiri... Hiki kishule kilikua Kijijini huko ila miaka yetu for ten consecutive years hawakuwahi kutoka top 10 kitaifa Hawa....
Kijiji ambacho bangi ni sehemu ya chakula.
 
Tatzo la walimu wa specials schools hawafundishi, wanapiga lecture TU,

Na wako bize na miradi yao mbalimbali mitaani, hawana njaa njaa sana ndo maana uchagua wanafunzi cream.

Kama ulizoea spoon-feeding lazma uteseke
Nakubaliana na wewe.
 
Pugu haijawahi kuwa special.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnachekesha sana, aaah
 
Ko ni Kama channel πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee? Ukute unamsema Shiwa Masunga. Alikuwa anasagisha mashine. Alipataga vijisenti nyingi lakini Kwa kazi yake Ile.
 
Ungesoma enzi za walimu kama Losujak aka Chifu R.I.P, Shembilu aka Mwasahili R.I.P, Mgaya aka Machakura R.I.P sidhani kama ungejaribu kuleta utemi...(timeline unayoielezea inaonesha hao waalimu hawakuwepo Ilboru)
Daaah.....Losujaki ole Ngavuti....RIP. Kweka....RIP. Hahahahah, Machakura kiboko yao.
 
fundi sanifu siyo lazima awe form 6. Ukiona fundi sanifu ana form six basi huyo alifeli form six. Best Engineers and Technicians ni wale waliopitia Technical Colleges like DIT, Arusha tech, MUST etc.

In short kwa Tanzania form six ni kupoteza muda.
FTC nimeiweka kundi la elimu ya high school (advanced Secondary) education.
Ingawa FTC ni specialized education.
Ukikosa F5 na F6 basi upitie FTC ukikosa vyote ukaenda kusoma elimu ya juu masomo ya sayansi utajikuta kuna kitu muhimu kwa elimu ya juu umekikosa.
 
Yes umemuelezea vizuri sana aisee na wala hujakosea

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la dogo wa form 5 kujifanya unajua kuliko wenzako form 6 ni baya kama ilivyo huku mtaani unaweza kuundiwa zengwe muda wowote.
 
Swala la kuingia shule sijui kitu umenikumbusha wakati naanza form one Aisee hata majina ya masomo siyajui nikitajiwa kwanza nashtuka ndio nini hiyo? Inahusu nini? Halafu wapi wakiulizwa wanajibu vizuri is a brach of ..... Nikaona maisha ni magumu kwangu ila week 3 tukaanza kula meza moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…