Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Mkuu pugu hapo nimewaweka kwa makosa, ila waliosoma ilboru wanajua mziki wa kisimiri... Hiki kishule kilikua Kijijini huko ila miaka yetu for ten consecutive years hawakuwahi kutoka top 10 kitaifa Hawa....
 
Tatzo la walimu wa specials schools hawafundishi, wanapiga lecture TU,

Na wako bize na miradi yao mbalimbali mitaani, hawana njaa njaa sana ndo maana uchagua wanafunzi cream.

Kama ulizoea spoon-feeding lazma uteseke
Hili tatizo lilikuwa pale Azania, yaani unakuta Mwalimu wa Book keeping tena ni Mwanaume yuko busy na kuuza Maandazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zamani kulikua na spirit sana unakuta wababe wote wa hesabu, au labda physics wanajulika kwa majina hata kama husomi nae habari utazipata tu
Nj kweli kbsa huyo ndegeulaya nilimsikia Kuna Danny kitalika ,Kuna James ijumba mwitondi wakali hao hata kama huwajui lakini majina unasikia

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hilo la kufaulu tena div 1 ndiyo la muhimu, hao wenye mikwara huenda kuna ambao hata uliwazidi.
NI wengi sana mkuu, na walishangazwa sana ilikuwaje nkapata div 1 maana sikuwa mtu wa kusoma muda mrefu sana ukizingatia na pesa ya tuition ilikuwa chenga, mara nyingi washikaji tu walinifundsha na kiukweli nawashukuru mpaka leo.
Wengi waliokuwa na mikwara walipata 3 kabisa now sijui wakwapi.
 
IPO nami nilibance nikaona hiyo imetiki sasa yeye anadai PCB nikamwambia haiwezekani kwa Sie wahenga A level 90s huko nikashangaa kuwa tcha wake amemwambia possible
Kwa ufaulo huo mwambie aache kulazimisha pcb aisee.... Kuna watu waliingia pcb na point 4 A,A,B baada ya miezi miwili mtu anaomba poo anataka kuhama combi..... Aisee sisemi kwa ubaya ila Kama o level phys anapata D, aisee advance si ata struggle sana mkuu
 
Nikifanya paper ya physics ila pendulum in swing nusu kamba nzima nusu inaishia njiani.

Nilitengeneza graph haina kosa hata moja mpka mzimamizi akacheka. Nilichofanya ni kuunga vile vifaa then nkaiacha pendulum inatembea me najaza data tu. Mpka nkapata g=9.812.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…